Leo nimetongozwa na binti mdogo tu, imenikumbusha sana ujana wangu

Wakuu mmebarikiwa,

Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.

Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.

Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?

Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Tarehe za siku kuu hizi, ni bomu hilo unategwa, shauri yako.
 
Mademu wanyewe hawa Jobless wanatongoza wanaume ili wapate kula na maisha yasonge hakuna kingine.
Kikubwa andaa pesa tu sio kutafuta vumbi la Congo.
 
inaonesha ni ndoto yako kutongozwa sasa amka na ukaijenge nchi.
 
Wakuu mmebarikiwa,

Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.

Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.

Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?

Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Usiku huyo demu huwa anakuwa pale Corner Bar anajiuza..Wewe unaona umeokota dodo...aisee
 
Kutongozwa si tatizo. Tatizo ni jibu lako la ........ "asante"
Dada yako naye ajibu vipi akiambiwa nakupenda au umependeza?.

Kwani wanaume tunajibu vipi wakulungwa?
Nasubiri jibu na mm [emoji23]
 
Tatizo sio kutongozwa vp yaliyomo yamo kwa uyo mrembo tako, sura lipo au ndio wale kina mwajuma ndala ndefu
 
Wakuu mmebarikiwa,

Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.

Sasa wakati narudi njia ileile nikaona binti mmoja anasimama anakuja barabarani akanisimamisha akanipa hi, nikaitikia fresh tu.

Akaanza kujiumauma ooh kaka samahani unajua nakuonaga unapita nawaambiaga wenzangu yule kaka nampenda sasa leo umepita nimeoana nikusalimie, nikamjibu asante ondoa shaka kwa hiyo bado unanipenda au unawaambiaga tu rafiki zako?

Akajibu ndio hivyo sahamani lakini, wakuu hii haliya kutongozwa na binti huyu imenikumbusha miaka 15 nyuma wakati niko kijana barobaro mabinti walikuwa wananitongoza haipiti mwezi, hapa miaka ya katikati ubize wa maisha na nini nikawa sijijali sana ila sasa binti huyu amenikumbusha ujana wangu.

Kesho ntawapa mrejesho maana nimeshindwa kumkubalia kirahisi ataniona malaya, nimechukua namba zake tu nimemuahidi nitamtafuta.
Ndugu mtani wa wazaramo,kumekucha,je leo umeenda kwenye harakati za kutafuta🤔
 
Ndio natoka kazini now, kuna mwanamke nilienda kukutana nae huko Goba, kaka kuna wanawake wameumbika.
 
JamiiForums2144198311.gif
 
Hadithi yako inatufundisha nini?.
 
Back
Top Bottom