Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kwan nawasikiliza Sasa,😜 huba hubaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan nawasikiliza Sasa,😜 huba hubaaaa
Usiogope kijana,easy easyyyyUshajua,utakua wa-ngapi?
Muelekeo wa YEYE kukubalia ni mzuri,ila utumie zana,maana kasema ANAO... wengi,mtu hadi ku-confess hivyo,mmmh...
Kama vipi kapotezee kiaina kasije kukuharibia huko mbeleni.Ombea jambo kama hili lisikukute.
Ungetuelezea na sifa zake angalau tujue Kama kanatosha mboga au bado mkuuWakuu,
Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi.
Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno.
Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la. Wakuu ndio kwanza nimepata katoto kadogo kana mapengo tu hata kuzungumza bado hakajui. Huyu naye ananiletea hadithi zake za mapenzi hapa naona ananichanganya tu.
Najua nikimkubalia nitaongeza mchepuko halafu niwe nalea mwanangu,mama yake,mimi, mchepuko namba moja ,mchepuko namba mbili na yeye pia.
Familia yangu itakua kubwa sana.
Nikahisi ni Bei eleleziWakuu,

Mle kimasiharaWakuu,

Dogo ni hivi...Wakuu,

Kwa hiyo mpaka Sasa Stroke una mke na masuria wawili!Wakuu,

Wakuu,

Inakuaje mkuu,tufunueKule kwa watanzania wenzetu Tanga wanafanya sana hivyo vitu. Ukiingia tu kwenye huo mtego, you're done son.
Umekuja kututambia idadi ya michepuko daahWakuu,
Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi.
Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize shughuli tuzungumze. Sasa ananiambia kuwa ananipenda mno.
Na anataka nimpe jibu kama nimemkubali au la. Wakuu ndio kwanza nimepata katoto kadogo kana mapengo tu hata kuzungumza bado hakajui. Huyu naye ananiletea hadithi zake za mapenzi hapa naona ananichanganya tu.
Najua nikimkubalia nitaongeza mchepuko halafu niwe nalea mwanangu,mama yake,mimi, mchepuko namba moja ,mchepuko namba mbili na yeye pia.
Familia yangu itakua kubwa sana.
Haiwezekani aisee...Tayari kuna michepuko mingine? Hivi wanaume bila michepuko kwani haiwezekani? [emoji23]