Leo nimetongozwa na Binti mdogo tu

ametumwa na masanja mkandamizaji huyoo achana naye
 
Hahaha
 
Kuna siku nilikuwa narudi zangu home kwenye daraja flan nikakutana na kabinti sikafahamu kalikiwa kwenye sare za shule nikakapita tu kufika mbele kakanismamisha kakanambia Nakupenda..,nikakaangalia nikaenda zangu...
 
Watoto wadogo wamekuaje sijui ata Mimi kapo kamoja kananiambia nmekatesa kakiwa kidato cha pili mpaka leo kako kidato cha nne kameamua kuniambia hisia zake maana eti kanateseka.

Jibu langu : Nimekambia sitaki miaka thelathini ya magereza .
Hahaha
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…