LGE2024 Leo nimetumia haki yangu kujiandikisha kwenye uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA.

Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala wao. Amkeni uchaguzi huu ni wa muhimu sana.
 
Umefanya vyema, ila Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ishi katika ukweli huo.
 
Back
Top Bottom