Leo nimevunja rasmi line ya Halotel

M nlichoma laini ya ttcl,.nimechukua halotel,.na yenyew ntaichoma mda c mrefu kwa kutokuona vifurushi pendwa.
 
Nyie mnaosema halotel wako slow, mnaulaumu mtandao bure.

Other than expensive Voda,;nani atakupa spidi hiyo hapa nchini?

Hapo ulipo unapata 3G au 4G? Minara ya network inasoma mingapi?
 
Mkuu inaelekea uko na menu ya kwakotu. Kwangu hizo gb napata kwa Tsh 20,000. Kama hutojali tueleze unavyozipata.
Mkuu mimi natumia tuu laini ya Royal ya elf 10 kwa mwezi, ila nilichoahidiwa sio ninachopata, napata mara 100 zaidii..

Sema nimeandika humu pengine ndio kwisha habari yangu.
 
Apa kila mtu anavuta kwake, ila mm kwangu ni halotel, ila voda, tigo, ttcl zipo kama line za mawasiliano tu
 
Tigo is the best, especially kama unakaa au shughuli zako ni mjini. 4G uhakika kwa miji mingi haoa Tz na bando hawaibi kivile, me najiunga 4GB kwa week kwa elfu 5 naangalia kila kitu na laptop yangu iko connected 24/7 na week namaliza vizuri kabisa
Mm pia net ya tigo inanifurahisha kwa sasa ht porin kwangu net iko vzr na mb zinaenda kwa usahihi
 
huko kwenu kuna mgao wa umeme?
 
Ila katika wote Zantel pekee ndio sio muhuni! Try them utakuja kusimulia
Huyu jamaa bado anatafuta kukusanya kijiji hawezi kuonesha upuuzi, unamkumbuka halotel alivyoanza alikuwa fresh tu ila alivyopata waumini anafuata itikadi za fuwoda na tygoo
 
Huyu jamaa bado anatafuta kukusanya kijiji hawezi kuonesha upuuzi, unamkumbuka halotel alivyoanza alikuwa fresh tu ila alivyopata waumini anafuata itikadi za fuwoda na tygoo
Eeh mangi, sema kwangu nafuu nainjoy vifurushi vyake na data haiendi kipumbavu.
 
acha uongo royal elfu 10 ni gb mbili spidi kubwa kisha unlimited spidi ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikawaida hata huwaibii.

Halotel wako vizuri kiasi chake, sio kama voda washenz tu
 
Voda Sasa ndio baba lao kwa kufyeka MB, Halotel kiukweli sasa hivi anaboa speed imeanza kuwa kobe kiaina Voda wako vizuri kweny speed ila kweny ulaji wa mb hakuna anae gusa moto wa Voda.
Voda ni hatari sana... Jana ndani ya masaa kadhaa tu wakalamba 3.5gb kimasihara kabisa [emoji38][emoji38]
 
Kuna jamaa yangu anatumia hallotel yeye ikibakia siku moja kabla ya kuisha anajiunga upya hivyo balance yote inakuwa accumulated kwenye bundle mpya.
Hii nayo nilikua sijui ila naona hata mimi wananilete mgs kabisa ya kuwahi ku topup kabla hakijaisha.
 
Voda Sasa ndio baba lao kwa kufyeka MB, Halotel kiukweli sasa hivi anaboa speed imeanza kuwa kobe kiaina Voda wako vizuri kweny speed ila kweny ulaji wa mb hakuna anae gusa moto wa Voda.
Voda pasua kichwa ..nilishaivunja vunja line yao siku nyingi
 
Mimi nina sim cards zote for data usage nina Sim card moja pia amongst nime select kama ndio namba yangu officially ila kwenye swala la data sijawahi na sitakuja kulalamika sijui nimeibiwa hapana kwa kweli unless kampuni ingekuwa moja ninachokifanya kampuni ikianza ujinga natoa chip yake kimya kimya bila hata kulalamika kwa customer care natia kwenye wallet naweka nyingine natumia the same wakizingua natoa pia, Yani Hela ya bundle yangu bado mnitese as if mko wenyewe dawa ni wakijisahau ni kuwaweka tu pembeni mana kuna watu wako paid kucheki coverage na service ziko well delivered sasa kama wanalala mimi sio jukumu langu kuwaamsha, providers ni wengi sana
Nitakosa tu options kama nipo eneo ambalo coverage ya providers wengine hakuna au haiko stable kama nikiwa off city ila kama niko Mijini basi nikuchange tu chip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…