Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi natumia tuu laini ya Royal ya elf 10 kwa mwezi, ila nilichoahidiwa sio ninachopata, napata mara 100 zaidii..Mkuu inaelekea uko na menu ya kwakotu. Kwangu hizo gb napata kwa Tsh 20,000. Kama hutojali tueleze unavyozipata.
Mm pia net ya tigo inanifurahisha kwa sasa ht porin kwangu net iko vzr na mb zinaenda kwa usahihiTigo is the best, especially kama unakaa au shughuli zako ni mjini. 4G uhakika kwa miji mingi haoa Tz na bando hawaibi kivile, me najiunga 4GB kwa week kwa elfu 5 naangalia kila kitu na laptop yangu iko connected 24/7 na week namaliza vizuri kabisa
huko kwenu kuna mgao wa umeme?Kufa kufaana.
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
ILA CHA KUSHANGAZA SASA
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000, wakaja kunipa tena dk laki moja.
Internet nayo ipo fasta kupita kawaida.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.
View attachment 1469529
Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
Hapana mzee, ila Sikupata mda wa kuicharge tangu jana, Asaivi ndio ipo charge.huko kwenu kuna mgao wa umeme?
Huyu jamaa bado anatafuta kukusanya kijiji hawezi kuonesha upuuzi, unamkumbuka halotel alivyoanza alikuwa fresh tu ila alivyopata waumini anafuata itikadi za fuwoda na tygooIla katika wote Zantel pekee ndio sio muhuni! Try them utakuja kusimulia
Eeh mangi, sema kwangu nafuu nainjoy vifurushi vyake na data haiendi kipumbavu.Huyu jamaa bado anatafuta kukusanya kijiji hawezi kuonesha upuuzi, unamkumbuka halotel alivyoanza alikuwa fresh tu ila alivyopata waumini anafuata itikadi za fuwoda na tygoo
acha uongo royal elfu 10 ni gb mbili spidi kubwa kisha unlimited spidi ndogoKufa kufaana.
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
ILA CHA KUSHANGAZA SASA
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Elf 50(50,000)kwa mwezi mitandao yote, Mwezi uliopita walinipa dk 80,000, wakaja kunipa tena dk laki moja.
Internet nayo ipo fasta kupita kawaida.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.
View attachment 1469529
Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba
Nikawaida hata huwaibii.Kufa kufaana.

Muonene huyu nae, Asa hapa umeandika nini?acha uongo royal elfu 10 ni gb mbili spidi kubwa kisha unlimited spidi ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Voda ni hatari sana... Jana ndani ya masaa kadhaa tu wakalamba 3.5gb kimasihara kabisa [emoji38][emoji38]Voda Sasa ndio baba lao kwa kufyeka MB, Halotel kiukweli sasa hivi anaboa speed imeanza kuwa kobe kiaina Voda wako vizuri kweny speed ila kweny ulaji wa mb hakuna anae gusa moto wa Voda.
Hii nayo nilikua sijui ila naona hata mimi wananilete mgs kabisa ya kuwahi ku topup kabla hakijaisha.Kuna jamaa yangu anatumia hallotel yeye ikibakia siku moja kabla ya kuisha anajiunga upya hivyo balance yote inakuwa accumulated kwenye bundle mpya.
Voda pasua kichwa ..nilishaivunja vunja line yao siku nyingiVoda Sasa ndio baba lao kwa kufyeka MB, Halotel kiukweli sasa hivi anaboa speed imeanza kuwa kobe kiaina Voda wako vizuri kweny speed ila kweny ulaji wa mb hakuna anae gusa moto wa Voda.