Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

kunta93

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
754
Reaction score
1,512
Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo

Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye aliachiliwa huru

Ndugu Besigye alipoachiliwa huru kesho yake alipata ugeni kutoka kwa msanii Bobi Wine akiwa amebeba guitar akiambatana na mkewe.Bobi wine alienda kumpa pole rafiki yake lakini pia kumuimbia wimbo aliokua amemuandikia alioupa jina la SITUKA(amka/nyanyuka;jifute vumbi tuendelee na mwendo)

Mwaka uliofata bobi wine aliamua kuachia wimbo huo,na katika intro bobi wine anasema;

"When the going gets tough,The tough must get going
Especially,
When leaders become misleaders and mentors become tormentors
When freedom of expression becomes the target of expression,opposition becomes our position"

Maneno haya yawafariji wanachadema na Mwenyekiti Wao mbowe.
Hata sisi tusio na vyama tumeumia kiasi

#MAMA ANAUPIGA MWINGI
Mods uzi usiunganishwe please
 
Chadema inaenda kibra. Chama hiki ni kimeshika hatamu.
 
History is more than the path left by the past, it is a blueprint for the future. Therefore, history is not supposed to be a burden to any person when held responsible.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom