Leo nina furaha sana, asante Mungu umenifuta machozi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima hazitanifanya niondoke nyuani mwako, wacha wenye kupenda fedha waendelee kuwa watumwa wa fedha. Fedha ni chanzo Cha UOVU WOTE.
Umewaangusha wapanda farasi na magari yao yote.
Dah.. hakika umenifurahisha
 
Hongera kaka Buji kwa kutendewa mema na mtenda mema. Uzidi kubarikiwa
 
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima hazitanifanya niondoke nyuani mwako, wacha wenye kupenda fedha waendelee kuwa watumwa wa fedha. Fedha ni chanzo Cha UOVU WOTE.
Umewaangusha wapanda farasi na magari yao yote.
Dah.. hakika umenifurahisha
Amen
 
Vipi Uncle bujibuji na wewe jina lako limetoka kwenye list ya walimu wapya.?
 
Una mistari ya Biblia yakutosha, anzisha kanisa utamzidi hata yule wa pale tanesco juu
 
Back
Top Bottom