Leo nina furaha sana, asante Mungu umenifuta machozi

Hasira niliyokua nayo Jana wangethubutu kwenda kinyume leo ningeungana na shetanj tukawauwe wajumbe wote wa kk
 
Etii! Walisema hakuna mkate mgumu mbele ya chai, sasa mkate umegeuka jiwe hausikii chai.
 
Umepewa ajira ya ualimu au umepewa uteuzi...Aya endelea kushukuru
 
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima hazitanifanya niondoke nyuani mwako, wacha wenye kupenda fedha waendelee kuwa watumwa wa fedha. Fedha ni chanzo Cha UOVU WOTE.
Umewaangusha wapanda farasi na magari yao yote.
Dah.. hakika umenifurahisha
Leta ushuhuda Basi
 
Andika habari kamili mkuu
 
Back
Top Bottom