Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima hazitanifanya niondoke nyuani mwako, wacha wenye kupenda fedha waendelee kuwa watumwa wa fedha. Fedha ni chanzo Cha UOVU WOTE.
Umewaangusha wapanda farasi na magari yao yote.
Dah.. hakika umenifurahisha
uzi tayari????
Amefanikiwa kurudiana na Miss NatafutaKuna nini??
AminaHongera kaka Buji kwa kutendewa mema na mtenda mema. Uzidi kubarikiwa
AmenMungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima hazitanifanya niondoke nyuani mwako, wacha wenye kupenda fedha waendelee kuwa watumwa wa fedha. Fedha ni chanzo Cha UOVU WOTE.
Umewaangusha wapanda farasi na magari yao yote.
Dah.. hakika umenifurahisha
Miss Natafuta anausaka u COVID-19 DodomaAmefanikiwa kurudiana na Miss Natafuta
Ni raha sana majibu yako yanapojibiwa na aliye juu. Baraka za Mungu hazina mateso wala majutoNini tena??
Kuna furaha!Kuna nini??
Ubweghi gwandile panandipanandiMbowe kachukuliwa hatua gani?
VitimaalumuuuVipi Uncle bujibuji na wewe jina lako limetoka kwenye list ya walimu wapya.?