Leo nina furaha sana usiku huu

Docta kaniandikia gazeti kabisa
 
Tena akae mbali
Wengine tuliolewa na kina Maugo ngumi mkononi
Nimekupenda bure ms. Lincoln si mwanamke tumevamiwa anatoka nduki, tukivamiwa anakunja ngumi, wakija waduwanzi kuniyeyusha ambao hawampwelepweti anawashushia kibano mie huku nakunywa juis

Tukikerana hakuna kujibishana, tunavaa gloves tunapigana wee, atakaeshindwa ananyoosha mikono juu, msamaha ndio ushapita, tunakumbatiana, mate kinafata kitombo tuu.

Umenikosha sna, hebu nipe hicho kiberiti niwashe bangi yangu mie, we chukua hii mia 300 kanunue ugoro[emoji23] [emoji23]
 
Mwanaume huyo wewe shauri lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…