Kupigana hapana ni ujinga. Kwanza mi sinaga nguvu naanzaje kupigana. Nitalia zangu napita pembeni story inaishia hapoUpuuzi tu, sio kupigana na mwenzio, hayo si mapenz ni upopoma,
Inabidi uwe na sababu ya kupigan wa ajili ya mtu, kitendo cha kukusaliti na kiwa na mwingine hiyo ni sababu tosha ya kupotezea, huwez kupoteza nguv jasho lako kwa mpuuzi..
Naona karibu sabrina atapata ndugu yakeAhahahahahah nakojoooooaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wao ndio wana mkosii hata docta hajawah kuwasalimia
Sisi la muadhini wala la muhubiriKasema anampenda hivyo hivyo tuu.
Wacha weeDocta kaniandikia gazeti kabisa
Si Wajua Binadamu wengine wana hila ya kwapa kunuka bila kidondaWatu wakiona nafurahi hivii hawapendi
Basi, nishatoka nduki, mie masuala ya kuchezea mavi sitaki..Mwanaume huyo wewe shauri lako
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimekupenda bure ms. Lincoln si mwanamke tumevamiwa anatoka nduki, tukivamiwa anakunja ngumi, wakija waduwanzi kuniyeyusha ambao hawampwelepweti anawashushia kibano mie huku nakunywa juis
Tukikerana hakuna kujibishana, tunavaa gloves tunapigana wee, atakaeshindwa ananyoosha mikono juu, msamaha ndio ushapita, tunakumbatiana, mate kinafata kitombo tuu.
Umenikosha sna, hebu nipe hicho kiberiti niwashe bangi yangu mie, we chukua hii mia 300 kanunue ugoro[emoji23] [emoji23]
Wana mikosi mikubwa mikubwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hapa ntapambana apate mdogo wakeNaona karibu sabrina atapata ndugu yake
Hahahahahaaa[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji85] [emoji86] [emoji85] We mwali we muogope mungu!!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Naona karibu sabrina atapata ndugu yake
Kabisa mafikizolo we hua unanielewa vizuri mie kabisa mtu ambae hataki ufurahi mkimbie huyoSi Wajua Binadamu wengine wana hila ya kwapa kunuka bila kidonda
Baki kwangu tuBasi, nishatoka nduki, mie masuala ya kuchezea mavi sitaki..
Asanye priceless ,haya ndio manenp sasa we utakuwa mzuri hakikaHERI YA FURAHA YAKO.MAMA SABRINA
[emoji4][emoji4][emoji4]Kabisa mafikizolo we hua unanielewa vizuri mie kabisa mtu ambae hataki ufurahi mkimbie huyo
Aah!! Kupigana kawaida tu, mabondia kibao wanapigana. Mtoto wa muhamad ali anapigana hatar halaf ni kitoko huyo, kimwasu ile mbaya. Sipo majuu tuu ninget... Mba yule.Nakuapia tena we huoni anapenda kupigana