Leo nina furaha sana usiku huu

Leo nina furaha sana usiku huu

Upuuzi tu, sio kupigana na mwenzio, hayo si mapenz ni upopoma,

Inabidi uwe na sababu ya kupigan wa ajili ya mtu, kitendo cha kukusaliti na kiwa na mwingine hiyo ni sababu tosha ya kupotezea, huwez kupoteza nguv jasho lako kwa mpuuzi..
Kupigana hapana ni ujinga. Kwanza mi sinaga nguvu naanzaje kupigana. Nitalia zangu napita pembeni story inaishia hapo
 
Nimekupenda bure ms. Lincoln si mwanamke tumevamiwa anatoka nduki, tukivamiwa anakunja ngumi, wakija waduwanzi kuniyeyusha ambao hawampwelepweti anawashushia kibano mie huku nakunywa juis

Tukikerana hakuna kujibishana, tunavaa gloves tunapigana wee, atakaeshindwa ananyoosha mikono juu, msamaha ndio ushapita, tunakumbatiana, mate kinafata kitombo tuu.

Umenikosha sna, hebu nipe hicho kiberiti niwashe bangi yangu mie, we chukua hii mia 300 kanunue ugoro[emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom