Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Unajua watu8 umenichekesha sana leo na post zako maana umewashupalia wadada ninafanya nao mazoezi kama nini.
wale ni wake wa maofisa wa UN, wewe endelea kula tu kwa macho maana ukitimba maguu it will eat on your side... LOL

Karibu basi siku moja nawe utupiemo macho kwa karibu, na nimeongeza idadi ya wana JF wanne tayari, post yangu ya leo imehamasisha si unajua nimewatisha kwamba wasipofanya mazoezi hawatakuwa warembo... LOL

Copy to Smile & lara 1
 
Last edited by a moderator:
kumbe tupo wengi, nilifikiri niko peke yangu nisie penda kutinda nyusi na kuweka kope bandia, nimwendo wa ki gel kwa mbaali then unachana na kitana halafu unazi shape.... Mbona zinapendeza tu!
Bora wewe nyusi zako unazichana na kitana, lakini Asnam... Mweh! Ana minyusi timu timu na wala haziweki kwa unadhifu.....LOL
 
Last edited by a moderator:
Mmh!! mnawapa wakati mgumu sana wagonjwa...maana mida hiyo huwa wanatoka kwa balcony kidogo wapate ule upepo wa jioni.
Hivi wagonjwa wanakuwaga na hamu ya kutazama na kutamani kweli...?
 
mtu mzima hatishiwi nyau,mie hujanishitua hata mshipa wa goti.
 
Bora wewe nyusi zako unazichana na kitana, lakini Asnam... Mweh! Ana minyusi timu timu na wala haziweki kwa unadhifu.....LOL

HAHAHAHAH muulize husband wangu zinavyomdatisha..........utajibeba babu weeeee
 
Hehehehhehehh uwIiiiiiii aaghAAAaaaa matuchi
 
Karibu basi siku moja nawe utupiemo macho kwa karibu, na nimeongeza idadi ya wana JF wanne tayari, post yangu ya leo imehamasisha si unajua nimewatisha kwamba wasipofanya mazoezi hawatakuwa warembo... LOL

Copy to Smile & lara 1

Hahahah...panapo majaaliwa nitafanya hivyo kaka mkubwa maana afya ni jambo muhimu sana...

Pasipo mazoezi leo hii kina watu8 tungelikuwa na kitambi au manyama uzembe lakini mazoezi yametupa siha njema...

Smile hebu fanya mchakato wa kujiunga na hii makitu ili nami nijiunge...lol!!!
 
Last edited by a moderator:
mtu mzima hatishiwi nyau,mie hujanishitua hata mshipa wa goti.
Halafu wewe, usiwapotoshe wenzio, wewe kila siku unachapa lapa kutoka ofisini kwako Pasiansi mpaka kwenu Bugando halafu unawadanganya wenzako hapa wasifanye mazoezi.........
 
Huyo Smile mahali anapoishi kwenda na kurudi ni mazoezi tosha..... Unapajua BONYOKWA wewe...
Kufika barabarani ili upande daladala ni kama kilomita mbili hivi
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe, usiwapotoshe wenzio, wewe kila siku unachapa lapa kutoka ofisini kwako Pasiansi mpaka kwenu Bugando halafu unawadanganya wenzako hapa wasifanye mazoezi.........

ntawadanganya kama wanamiliki akili za kushikiwa @
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…