Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

Hata ufanye nini nyeto siachi
 
Mkuu umeupiga mwingi mnooo vijana hawatakiwi kuambiwa maneno mengi utawachanganya viakili vyao vidogo ila umewafungua machoπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Wewe mpuuzi kweli, ungekua ndugu yangu ningekupiga viboko.

Yaan hutaki kuambiwa ukweli, ukiambiwa ukweli unasema unanini sijui (kwanza umetumia neno la kike)

Wewe ndo wa kwanza kwenye huu uzi kuonesha dalili kwamba uanamke umeanza kukuingia na unaanza kuiva, yaan unasubiria usaidiwe? Unadhan kusaidiwa ni haki yako. Nyambaf kabisa.

Au unataka kuanza kusema na wewe "Ukiwezeshwa unaweza" kama dada na mama zako wanavyosema.

Jinga kabisa hili, mimi siyumbishi maneno na ungekua mtoto au mdg wangu wallah ningekutia adabu
 
Nipo nimekaa hapa chini ya mti njoo unipige kaka.
 
Punguza mipasho . Mipasho peleka kwenye taarabu.

Njoo na solution
 
Wejamaaa akilii mingiii saaaaaaanaa....koonziii
 
Waambie hao Sharobaro wanakaa kijiweni chini ya mti kutwa nzima hawataki hata kazi ya saidia fundi kubeba tofali lakini jioni ukirudi utasikia nitoe na buku brooo. Bata wahed!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Wanongeag kirahc una buku hapo
 
Kila mtu ashinde mechi zake , binafsi sionagi umuhimu ya kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine, shauri pale unapohitajika kushauri.
 
ajabu wanaume halisia hawaoni aibu wala kero kuwapa hela wanawake zao...lol
Shida sio nyie kuomba hela, na shida sio sisi kuwapa hela, shida ni kwamba mnataka mpewe hela na wanaume ambao hamuwapendi, Yani hunipendi, hujavutiwa na mimi kimapenzi, huna hisia na mimi, halafu unaexpect nikupe hela, it's like you're using me, ukichunguza kwa undani hicho ndo kitu wanaume wengi tunakilalamikia kuhusu nyie kutuomba hela Mrs Besyige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…