Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

Shida sio nyie kuomba hela, na shida sio sisi kuwapa hela, shida ni kwamba mnataka mpewe hela na wanaume ambao hamuwapendi, Yani hunipendi, hujavutiwa na mimi kimapenzi, huna hisia na mimi, halafu unaexpect nikupe hela, it's like you're using me, ukichunguza kwa undani hicho ndo kitu wanaume wengi tunakilalamikia kuhusu nyie kutuomba hela Mrs Besyige
huna point
 
Unamuonyesha mafanikio nani na ili iweje,mafanikio ni kuhakikisha account yako ina mzigo wa kutosha basii,zingine zoote ni ujinga,nawasifu sana wazungu,hawana ujinga huu
Mafanikio yapo kwenye nyanja nyingi, unaweza kuwa na mzigo kwenye account kwa kufanyiwa Matendo ya kudhalilishwa. Hivyo tutafute mafanikio yaliyo na balance kwenye nyanja tofauti
 
Na vijana walivyo wapuuzi mtu anaamka hata hafanyi usafi.

Kuna dogo alikuja kwangu ndg yake na wife, akawaambukiza watoto wangu ugonjwa wa kulala hadi saa 3 na kuacha mashuka hovyo. Siku moka sijui ilikuaje nikaingia saa mbili kwao, aisee nilipiga mikanda wote pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waambie hao Sharobaro wanakaa kijiweni chini ya mti kutwa nzima hawataki hata kazi ya saidia fundi kubeba tofali lakini jioni ukirudi utasikia nitoe na buku brooo. Bata wahed!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafikiri ulikua una hoja tena yenye mashiko, ila ulipoingiza Ushoga ndo ukaharibu kila kitu.

Kwa kifupi hauko sahihi.
 
Nafikiri ulikua una hoja tena yenye mashiko, ila ulipoingiza Ushoga ndo ukaharibu kila kitu.

Kwa kifupi hauko sahihi.
Sasa toka lini mgonjwa anakubali dawa? Tangu lini dawa ikawa tamu?
 
Back
Top Bottom