Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
huna pointShida sio nyie kuomba hela, na shida sio sisi kuwapa hela, shida ni kwamba mnataka mpewe hela na wanaume ambao hamuwapendi, Yani hunipendi, hujavutiwa na mimi kimapenzi, huna hisia na mimi, halafu unaexpect nikupe hela, it's like you're using me, ukichunguza kwa undani hicho ndo kitu wanaume wengi tunakilalamikia kuhusu nyie kutuomba hela Mrs Besyige