Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Mtanzania sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua kitu Cha maana [emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua kitu Cha maana [emoji849]
Ndo hivyo alivyoomanisha,mfano wewe mwenyeweNikajua kitu Cha maana [emoji849]
Nakubaliana na wewe kwenye sehem ya 3, mfano halisi ni Edo, upinzani ulitumia miaka zaidi ya 7 kuelezea ufisadi na uchafu alionao na watanzania wakaelewa na upinzani huo huo ulipobadiri gia angani watanzania wale wale walianza kumsifia Edo.Ndugu watanzania!
Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Kuna mambo matatu makubwa:
1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya watanzania na mengine mengi nikiorodhesha hayaishi fahamu kuwa ni miradi ya watu. Kwa maneno mengine kuna watu wametaka kwa makusudi iwe hivyo. Na hata ajaribuye kutatua hilo yatamfika ya kumfika, hili ni moja!
2. Sitaki kuwakatisha tamaa, lkn nawaambia ukweli tupu. Tanzania kuna wapinzani wa kweli kwenye vyama vyao, lkn wengi wao wanatumia upinzania kama ngazi ya kuingilia CCM ulaji. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa CCM ni msitu mnene wa watu wanaowinda maslahi yao iwe kiserikali, kifedha ama kichawi. Sasa wale wanaoshindwa kupambana na watabe kwenye game la ndani ya CCM huchagua upinzani km route yao ya kuingilia ndani ya CCM na hatimaye kuwaacha wafuasi wao midomo wazi. Wapinzani chukueni tahadhari mifano ya hili ni mingi mno! Hili ni la pili!
Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha....!
CCM Music!
[emoji706][emoji706][emoji706]halafu ukitulia ukakalie hichi [emoji867]Sisi huku kwetu tunapigania katiba yetu irudishwe ili tuendelee na utaratibu wa kisheria tuliokuwa nao zamani. Haiwezekani chama chetu kiitwe cha "Demokrasia na maendeleo" afu ndani ya chama hakuna demokrasia wala maendeleo. Fikiria watu wanajitokeza kugombea uenyekiti afu mwenyekiti ambae nae ni mgombea anawatisha kwa kuwambia wasijaribu kuonja sumu kwa ulimi, wengine wanauwawa mazingira ya kutatanisha (rip chacha wangwe) na wengine wenye kuhoji sababu ya mwenyekiti kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 17 wanaishia kushambuliwa chamani na mitandaoni na genge lililoundwa na mwenyekiti ili kumlinda kwa namna yoyote. Lkn pia kwa upande wa maendeleo kama ilivyo ktk jina la chama ndo hovyo kbs, takriban miaka 20 hakuna ofisi kuu ya chama na viongozi wanaosimamia mashina huko mikoani hawalipwi kitu zaidi ya kutumiwa tu kama daraja na viongozi wa chama. Hata hivyo watu wanasubiri kesi za mwenyekiti zikiisha huko mahakamani tutaanzisha vuguvugu la kutaka iundwe tume ya kuchunguza namna mali za chama zinavyopotea kimya kimya bila mtu yoyote kutoka ngazi za juu kuhoji.
Badala ya kumlaumu unapaswa kumpongeza maana hata hicho kiwango kidogo cha elimu ulichonacho ni mipango yake. Wakoloni hawakuwa na mpango wowote wa kutusomeshea watoto wetu, wao walisomesha wachache ili wapate watumishi tu, Nyerere akasema tujibanebane ili watoto wote waende shule, matokeo yake leo tuna maDr Mabuga wanaotumia alichowapa Nyerere kumponda!Daa Nyerere simlaumu ila alikosea mno mno kutunyima elimu ya Uraia aic pamoja na elimu ya kawaida.
Nakusikitikia kwa kuchelewa kulijua hilo. Wkt ww ndio unafaham leo kuna wengine walishajua kitambo na wakawa wanalipigia kelele.Ndugu watanzania!
Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Kuna mambo matatu makubwa:
1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya watanzania na mengine mengi nikiorodhesha hayaishi fahamu kuwa ni miradi ya watu. Kwa maneno mengine kuna watu wametaka kwa makusudi iwe hivyo. Na hata ajaribuye kutatua hilo yatamfika ya kumfika, hili ni moja!
2. Sitaki kuwakatisha tamaa, lkn nawaambia ukweli tupu. Tanzania kuna wapinzani wa kweli kwenye vyama vyao, lkn wengi wao wanatumia upinzania kama ngazi ya kuingilia CCM ulaji. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa CCM ni msitu mnene wa watu wanaowinda maslahi yao iwe kiserikali, kifedha ama kichawi. Sasa wale wanaoshindwa kupambana na watabe kwenye game la ndani ya CCM huchagua upinzani km route yao ya kuingilia ndani ya CCM na hatimaye kuwaacha wafuasi wao midomo wazi. Wapinzani chukueni tahadhari mifano ya hili ni mingi mno! Hili ni la pili!
Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha....!
CCM Music!
Siku hizi humuoni Kawe Alumni, Magonjwa Mtambuka Jane Lowassa Bia yetu MOTOCHINI yamepotea. Yamebaki mazwazwa mijane kina Kamanda Asiyechoka na Idugunde the witchYameshakukuta.... Yaani Pro CCM huwa wanahama jukwaa kwa stress. Nadhani huwa Wanaahidiwa mengi
Ngoja nikublock maana unawashwa backward na utanisumbua sana.Siku hizi humuoni Kawe Alumni, Magonjwa Mtambuka Jane Lowassa Bia yetu MOTOCHINI yamepotea. Yamebaki mazwazwa mijane kina Kamanda Asiyechoka na Idugunde the witch
Yani mtu anakuwa ameshaona ni mahala gani pakuiba ndipo anachukua form ya kugombea .Africa na Tanzania hasa ni shiiiiidaUlaya na America viongoz wanapambana kuingia madarakan ili KUWAPIGANIA WANANCHI WAPATE HUDUMA BORA
TANZANIA viongoz wanapambania madaraka ili waende KUWAKANDAMIZA WANANCHI WAWE MASIKIN ZAIDI
kifup mleta mada umechelewa Sana kuijua nchi yako
Tatizo kubwa n kwamba hata wanaotaka kukombolewa nao hawajui umuhimu wa UKOMBOZI
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio maana inaitwa saccos😅Sisi huku kwetu tunapigania katiba yetu irudishwe ili tuendelee na utaratibu wa kisheria tuliokuwa nao zamani. Haiwezekani chama chetu kiitwe cha "Demokrasia na maendeleo" afu ndani ya chama hakuna demokrasia wala maendeleo. Fikiria watu wanajitokeza kugombea uenyekiti afu mwenyekiti ambae nae ni mgombea anawatisha kwa kuwambia wasijaribu kuonja sumu kwa ulimi, wengine wanauwawa mazingira ya kutatanisha (rip chacha wangwe) na wengine wenye kuhoji sababu ya mwenyekiti kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 17 wanaishia kushambuliwa chamani na mitandaoni na genge lililoundwa na mwenyekiti ili kumlinda kwa namna yoyote. Lkn pia kwa upande wa maendeleo kama ilivyo ktk jina la chama ndo hovyo kbs, takriban miaka 20 hakuna ofisi kuu ya chama na viongozi wanaosimamia mashina huko mikoani hawalipwi kitu zaidi ya kutumiwa tu kama daraja na viongozi wa chama. Hata hivyo watu wanasubiri kesi za mwenyekiti zikiisha huko mahakamani tutaanzisha vuguvugu la kutaka iundwe tume ya kuchunguza namna mali za chama zinavyopotea kimya kimya bila mtu yoyote kutoka ngazi za juu kuhoji.
Tuitafune hii nchi kwa kasiHa ha ha nimecheka kwa nguvu jirani yangu kaniuliza vipi, nikamuambia kuna mwamba yamemkuta huku, nadhani umeijua Tanzania hivi karibuni au ulikuwa unajua lakini ulikuwa huamini kile kinaendelea “ KILA MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE”
Kwa kifupi iko hivi: wengi zaidi ya 70 % hawajui kinachoendelea katika nchi yao wala hawajali mradi wameshiba kidogo. Wenye uelewa ni wachache wanaweza wasizidi 15% kwa makadirio, lakini kati ya hao wenye uelewa majority of them wanatumia uelewa wao kujinufaisha binafsi huku wakiwahadaa wananchi kuwa wanapigania maslahi yao; wachache kabisa kati ya wale wachache wenye uelewa ndio wanapigania maslahi ya kweli ya wananchi lakini hawaeleweki wala kukubalika na wananchi. Wanaoaminika ni wale wachache wenye uelewa lakini wanatumia uelewa huo kujinufaisha binafsi. Na hao matapeli wako katika vyama vyote.Ndugu watanzania!
Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Kuna mambo matatu makubwa:
1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya watanzania na mengine mengi nikiorodhesha hayaishi fahamu kuwa ni miradi ya watu. Kwa maneno mengine kuna watu wametaka kwa makusudi iwe hivyo. Na hata ajaribuye kutatua hilo yatamfika ya kumfika, hili ni moja!
2. Sitaki kuwakatisha tamaa, lkn nawaambia ukweli tupu. Tanzania kuna wapinzani wa kweli kwenye vyama vyao, lkn wengi wao wanatumia upinzania kama ngazi ya kuingilia CCM ulaji. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa CCM ni msitu mnene wa watu wanaowinda maslahi yao iwe kiserikali, kifedha ama kichawi. Sasa wale wanaoshindwa kupambana na watabe kwenye game la ndani ya CCM huchagua upinzani km route yao ya kuingilia ndani ya CCM na hatimaye kuwaacha wafuasi wao midomo wazi. Wapinzani chukueni tahadhari mifano ya hili ni mingi mno! Hili ni la pili!
Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha....!
CCM Music!
Kuna haja ya kuunda kikundi huru (sio cha kigaidi au kiuhaini) kitakachokuwa mstari wa mbele kupigania masilahi mapana ya nchi.Ndugu watanzania!
Leo naandika hili na leo ndio mwisho wangu kuandika hapa JF, sio kwa ubaya bali kwa ridhaa yangu mwenyewe.
Kuna mambo matatu makubwa:
1. Ukiona matatizo yoyote yaliyopo TANZANIA fahamu kuwa huo ni mradi wa watu wakubwa wachache. Mfano: Ukiona urasimu, ukiona maisha duni ya watanzania na mengine mengi nikiorodhesha hayaishi fahamu kuwa ni miradi ya watu. Kwa maneno mengine kuna watu wametaka kwa makusudi iwe hivyo. Na hata ajaribuye kutatua hilo yatamfika ya kumfika, hili ni moja!
2. Sitaki kuwakatisha tamaa, lkn nawaambia ukweli tupu. Tanzania kuna wapinzani wa kweli kwenye vyama vyao, lkn wengi wao wanatumia upinzania kama ngazi ya kuingilia CCM ulaji. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa CCM ni msitu mnene wa watu wanaowinda maslahi yao iwe kiserikali, kifedha ama kichawi. Sasa wale wanaoshindwa kupambana na watabe kwenye game la ndani ya CCM huchagua upinzani km route yao ya kuingilia ndani ya CCM na hatimaye kuwaacha wafuasi wao midomo wazi. Wapinzani chukueni tahadhari mifano ya hili ni mingi mno! Hili ni la pili!
Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha....!
CCM Music!
Umeeleweka Mkuu sikuwa na nia mbaya kwa Baba wa taifa, Samahani kama umekwazikaBadala ya kumlaumu unapaswa kumpongeza maana hata hicho kiwango kidogo cha elimu ulichonacho ni mipango yake. Wakoloni hawakuwa na mpango wowote wa kutusomeshea watoto wetu, wao walisomesha wachache ili wapate watumishi tu, Nyerere akasema tujibanebane ili watoto wote waende shule, matokeo yake leo tuna maDr Mabuga wanaotumia alichowapa Nyerere kumponda!