Leo rasmi nawasanua watanzania. Tupo wachache sana tunaofahamu hili jambo

Leo rasmi nawasanua watanzania. Tupo wachache sana tunaofahamu hili jambo

Upo sahihi kabisa! Kumpanania MmTZ uwe na moyo kwelikweli! Maana watakuhangaa mpaka bas! Utasikia maneno kama jali familia yako, mbona unawashwa, nk
Mkuu, tuwaache hawa majority wanaopambaniwa... Je, nyie wapambanaji mmefikia wapi?

Sisi sote, kila mtu kwa nafasi yake anaona mwenzie zoba. Tuache kujitenga na kujio a maalumu.
 
Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha.

Usitake kutugombanisha na Serikali yetu kwa kifupi Watanzania tunaishi kwa upendo na hatubaguani na hatuna mda na Mavurugu maana kuna watu wanadhani kuandamana ndio kujielewa kifikra kumbe mda mwingine ni kutafuta matatizo yaliko lala.

NB:CCM ni lidude likubwa sana chama chenyewe kuna regulate kulingana na mahitajio ya nyakati husika tumuunge mkono MAMA ipo siku mutamuelewa hata Magufuli mwanzoni alipigiwa kelele sana,JK pia alilalamikiwa sana ila alipotoka akamisiwa sana.
 
Kale ka jamaa ka Hong Kong jina lake Charles ambako kalikinukisha hadi China ikaingilia kati... Leo kametoka jela, amesema "nitatumiamuda wangu kuwa na familia yangu..."
Hana tena mpango kuendeleza mapambano! Kuwatetea wanadamu wenzako hasa watanzania " maiti" yataka moyo!
 
Back
Top Bottom