Tatu na mwisho kabisa, watanzania kwa ujumla wao ni binadamu wa aina yake. Wala hawana habari na Nchi yao kiviiiiiiiile, na ukijaribu kuwapigania wanaweza kukuchamba hadi ukazimia na usiwaelewe na wala wao wenyewe wasikuelewe yaani wakakuona hujielewi to the core. Kwa ujumla nasema 'Ufahamu' wa watanzania upo somewhere else may be no one knows! Hahahahaha.
Usitake kutugombanisha na Serikali yetu kwa kifupi Watanzania tunaishi kwa upendo na hatubaguani na hatuna mda na Mavurugu maana kuna watu wanadhani kuandamana ndio kujielewa kifikra kumbe mda mwingine ni kutafuta matatizo yaliko lala.
NB:CCM ni lidude likubwa sana chama chenyewe kuna regulate kulingana na mahitajio ya nyakati husika tumuunge mkono MAMA ipo siku mutamuelewa hata Magufuli mwanzoni alipigiwa kelele sana,JK pia alilalamikiwa sana ila alipotoka akamisiwa sana.