Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ndio maana nikasema maanza life style mpya. Hata zile coca baridi za kushushia supu napumzika.pole sana mkuu jitahidi kuwa makini na nini unakula katika mlo wako wa kila siku. Chakula bora ni tiba ya kwanza kabisa.
American College of Cardiology na European Society of Cardiology wanashauri kama ulikua mlevi basi walau unywe Bia moja kwa siku.Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa. Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Ahsante mkuu. Ndio safari inaanza. Nashangaaga wakati mwingine inaweza kuwa juu lakini najisikia kawaida tu. Leo nilikuwa vizuri tuila miliamua kucheck ndio nikakuta 187/115.karibu kwenye ulimwengu huu!u can controll it mimi yangu sasa imefika 124/80 na ilikuwa mbali 177/110 nikawa nahangaika sana nayo.pole controll ur diet.
Ulikuwa na dalili zipi zilizokufanya mpaka uende kupima pressure? Si nilisikia ukishaanza dawa ndio hauwezi kuacha? Wanasema kwamba ukiwa na pressure au kisukari mtalimbo unakuwa doro?Ahsante mkuu. Ndio safari inaanza. Nashangaaga wakati mwingine inaweza kuwa juu lakini najisikia kawaida tu. Leo nilikuwa vizuri tuila miliamua kucheck ndio nikakuta 187/115.
Ndio nikafanýa maamuzi.
😁😁😁😁 nilikuwa vizuri tu. Niliamua tu kwenda kucheck kwakuwa ni muda mrefu sikuwa nimecheck. Na siku zote nipo kawaida tu.Ulikuwa na dalili zipi zilizokufanya mpaka uende kupima pressure? Si nilisikia ukishaanza dawa ndio hauwezi kuacha? Wanasema kwamba ukiwa na pressure au kisukari mtalimbo unakuwa dolo?
😁😁😁😁 nilikuwa vizuri tu. Niliamua tu kwenda kucheck kwakuwa ni muda mrefu sikuwa nimecheck. Na siku zote nipo kawaida tu.
Kuhusu mtarimbo bada hiyo hali sijainona. Bed perfomance naiona kawaisa tu. Ref nipo ndani ya ndoa kwa mika 17 sasa.
Chanzo chake kwa kweli sijui. Sababu za hili tatizo zipo nyingi. Inaweza kuwa mojawapo. Kifupi sivuti sigara, pombe nakunywa ila sio mlevi. Uzito wangu ni kg 78. Urefu ni 6 kasoro inchi kadhaa.Kwanza pole mkuu, you will be better..Nini chanzo chake au haijulikani ?
Ninashukuru Mungu nina 58 yrs sina Pressure ya aina yoyote ile na wala sina kilo nyingi mwilini mwangu. Pole sana bado kijana una Pressure?Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa...
Yaani ulivyoenda kucheki tu ukaanza na dawa,
Laiti ungejua hizo dawa zinavyotesa ungesubiri kidogo kwa kuanza mazoezi na kubalance diet yako.
44 yrs mdogo sana kuanza hayo madawa unless iwe inakusumbua sanaaaa.
Ulikuwa na dalili zipi zilizokufanya mpaka uende kupima pressure? Si nilisikia ukishaanza dawa ndio hauwezi kuacha? Wanasema kwamba ukiwa na pressure au kisukari mtalimbo unakuwa dolo?