Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

Presure SHIDA- Tafadhali sambaza [emoji1313]:

Profesa KIZUMANGO wa Herbs Kuu ya Asilia ya Tanzania alisisitiza kuwa, ikiwa kila atayepokea ujumbe huu atausambaza kwa watu kumi, bila shaka angalau maisha ya mtu mmoja yataokoka....
Nipigie no. 0584765575 kwa ushauri na tiba mbalimbali za kiasilia.

mimi nimeshafanya sehemu yangu, natumai nawe utafanya.
[emoji1313]
maji ya nazi yaliyo moto yanaweza kukuokoa

sambaza kwa wengine... eneza upendo kwa wingi!

Maji ya nazi yaliyo moto~ tu yanaua viini vya cancer..!

[emoji1314] kata vipande viwili au vitatu vya nazi ndani ya kikombe, weka maji ya moto ndani yake, itakuwa "alkaline water" , unywe kila siku, ni mazuri kwa kila mtu.

[emoji1314]maji ya nazi yaliyo moto yanatoa viini vyenye kupigana na cancer, ambayo ndio matibabu ya kisasa ya cancer yenye athari katika nyanja za matibabu.

[emoji1314]maji ya nazi ya moto yana athari kwenye uvimbe ( cysts and tumors). Imethibitika kuwa matibabu ya aina zote za cancer.

Aina hii ya matibabu kwa kutumia maji ya nazi inavunja viini sugu, haiathiri viini vyenye afya.

kwa kuongezea, amino acid na coconut polyphenol zinazopatikana ndani ya maji ya nazi zinaweka sawa high blood pressure BP. na kusaidia kuzuia clot kwenye mishipa ya damu, inaweka sawa mzunguko wa damu mwilini.

[emoji257] ukimaliza kusoma wasambazie wengine... eneza upendo..!

[emoji1303]TUNZA AFYA YAKO.. Napatikana ACTION HERBS CLINIC
JamiiForums-390055833.jpg
 
Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.

Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.

Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Pole sana kiongozi
 
Ahsante kwa ushauri mzuri. Niwe mwazi kabisa. Dawa nilizoanza kutumia nimesitisha. Jana na leo sijatumia, na sababu za kusitisha ni kwamba baada ya kuanza tu kutumia, ahsubuhi yake nikaanza kusikia mwili hauna nguvu. Nikajua ni kwa kuwa nilikojoa sana usiku huo.
Ahsubuhi nikaanza kunywa maji. Nilikunywa maji lita 5. Nilikojoa sana. Jioni ile hali ya mwili kukosa nguvu niliendelea kuisikia mpaka jioni ya saa 2 usiku.
Nikanyanyua simu kuongea na dr m1 ambaye ni rafiki yangu. Akanishauri nikacheck tena, labda kipimo cha mwanzo hakikuwa sahihi. Nikaenda kupima, this ilikuwa sehemu nyingine. Kupima ikasoma 180/110 imepungua 7/5.

Nikarudi home, nikanywa dawa. Kukojoa kama kawa. Ahsubuhi ile hali ya kuishiwa nguvu nikaona kama imezidi. Nikaendele kunywa maji lita 5 nyingine. Mpaka jioni nikajiona sipo sawa tofauti na kabla ya kuanza kutumia dawa.
Kwa hiyo usiku huo sikutumia tena dawa. Nikaamka kidogo nipo poa. Jana tena sijatumia, leo nimeamka mzima kabisa.
Nimeamua kuacha dawa kwa muda na sasa nabadili staili ya vyakula.
Ni mwendo wa mbogamboga, matunda, kupunguza chumvi na mazoezi.
Leo jioni nitaenda kucheck. Nitaleta mrejesho hapa.
Ahsante.
Pole sana kwa tatizo hilo la presha ya kupanda (Hypertension), lakin uamuzi uliofanya wa kuacha dawa sio sahihi ukizingatia presha bado ipo kt hali ya hatari, ni kweli baadhi ya dawa huwa changamoto kwa baadhi ya wagonjwa lakin unachotakiwa kufanya ni kurud kwa Dr wako na kumueleza unavyohis then mtashauriana dawa gani utumie.

Kwahiyo naomba usiache dawa, presha huwa ni chanzo cha kuharibu organs zingine kweny mwili ikiwemo figo na km haitakuwa controlled inaweza kupelekea kupata CVA(stroke). Rudi kwa Dr wako atakubadilishia dawa. Ikubali hiyo hali na kuwa tayari kwa maisha mapya, lifestyle na nini washaeleza hapo juu.
 
Back
Top Bottom