Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
- Thread starter
-
- #21
Kuna bandiko lako linaelezea kuhusu pressure nililisoma jana.Ninashukuru Mungu nina 58 yrs sina Pressure ya aina yoyote ile na wala sina kilo nyingi mwilini mwangu. Pole sana bado kijana una Pressure? utatumia dawa za Hospoitali maishani mwako na pressure haito ondoka kamwe. Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia presha yako upate kuisikia katika Radio na TV upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Kifupi mimi sio mlevi. Naweza kupita hata wiki mbili sijanywa pombe. Sema life style lazima ibadilike. Sasa ni mwendo wa mbogamboga, nafaka na matunda.Bibi yangu aliniambia kuna wakati inabidi upunguze kula baadhi ya vitu kabla daktari hajakukataza.
Over 40 ukianza kupunguza ulaji wa nyama na pombe na kuongeza ulaji wa mboga matunda na maji. Matokeo yake huwa ni 99% mazuri.
Kutembea kwa lisaa limoja kila siku ni tip nzuri pia.
Ukiweza punguza nafaka uongeze jamii ya maharage kwenye sahani mpaka utakapoweza kupunguza uzito.Kifupi mimi sio mlevi. Naweza kupita hata wiki mbili sijanywa pombe. Sema life style lazima ibadilike. Sasa ni mwendo wa mbogamboga, nafaka na matunda.
Leo nilipima tena jioni hii saa 2. Imeshuka na kuwa 170/110.
Nimekunywa maji lita 5 leo hii.
Weka hapa hapa wengi wafaidikeNinashukuru Mungu nina 58 yrs sina Pressure ya aina yoyote ile na wala sina kilo nyingi mwilini mwangu. Pole sana bado kijana una Pressure? utatumia dawa za Hospoitali maishani mwako na pressure haito ondoka kamwe. Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia presha yako upate kuisikia katika Radio na TV upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Aisee pole sana. Nini hasa kimepelekea Presha kuwa juu hivi?Ndio maana nikasema maanza life style mpya. Hata zile coca baridi za kushushia supu napumzika.
Pressure ikirudi nomal naanza tiz kabisa. Kukimbia na kuruka kamba. Mdogomdogo ntazoea.
Karibu kwenye jogging.....pakua strava kwa ajili ya workout zako!!!Kukimbia na kuruka kamba. Mdogomdogo ntazoea
Jaribu pua dawa za asili za miti. Achana na za kununua kuna za kuelekezwa ujatumia mwenyewe. Zinaweza kukusaidia sanaNimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Acha kula chips,wali kabisaaa ongeza ulaji wa mbogaza majani na mlo wa nafaka zisizo kobolewaAhsante mkuu. Ndio safari inaanza. Nashangaaga wakati mwingine inaweza kuwa juu lakini najisikia kawaida tu. Leo nilikuwa vizuri tuila miliamua kucheck ndio nikakuta 187/115.
Ndio nikafanýa maamuzi.
...Hebu mkuu zitaje hizo dawa za Asili za mitishamba. Nina hakika Utasaidia Wengi [emoji120]Jaribu pua dawa za asili za miti. Achana na za kununua kuna za kuelekezwa ujatumia mwenyewe. Zinaweza kukusaidia sana
Mzee Wassira hii siyo ile pressure ya kukosa ubunge wa Bunda? We mze mbishi sana sijapata ona, unalilia machangu wako wa Dodoma wakati wenzako hawana mpango na wewe. Pumzika kwa amani, we ishi kwako ukijilia ugali wako na dagaa wa Ziwa Victoria, achana na machangu.Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Dawa ya pressure ni kupunguza stress ndio dawa, kufanya mazoezi kwa sanaNingekua wewe ningeanza na life style modifications approach kuimanage hiyo pressure.
Ningepunguza sana chumvi.
Ningeacha myama nyekundu
Ningeacha kahawa
Ningeacha pombe
Ningepunguza sana stress
Ningeanza mazoezi madogo madogo ya kutembea
Ningezingatia chakula chenye nutrients stahiki
Na kadhalika.
Zingatia: Miongoni mwa vyanzo vikubwa kabisa vya ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease (CKD)) ni pressure ya juu ya damu (Hypertension) . Hivyo, jitahidi sana pressure iwe controlled maana ukishaingia kwenye mambo ya figo, game over, your life will nevr be the same.
Ahsante kwa ushauri mzuri. Niwe mwazi kabisa. Dawa nilizoanza kutumia nimesitisha. Jana na leo sijatumia, na sababu za kusitisha ni kwamba baada ya kuanza tu kutumia, ahsubuhi yake nikaanza kusikia mwili hauna nguvu. Nikajua ni kwa kuwa nilikojoa sana usiku huo.Habari yako ndugu, pole kwa ugonjwa na hongera kwa kugundua tatizo na kuanza matibabu. Ugonjwa wa shinikizo la damu ni ''silent killer'' na huweza kuchukua muda mrefu kabla ya kuanza kuonyesha dalili ila kipindi chote uharibu viungo vya mwili taratibu. Kitakwimu ni asilimia 40 ya wagonjwa wa shinikizo la damu wanajua kuwa wanaugua ugonjwa huu.
Nakupa vidokezo vichache(tips) chache za kuweza kukusaidia :
Tumia dawa kama ulivyoelekezwa na daktari. Usiache wala kupunguza ama kubadili dawa bila maelekezo ya daktari hata kama unajisikia vizuri. Pia nunua mashine ya kupima presha ''digital BP machine'' ili uwe na uwezo wa kujipima maendeleo ya ugonjwa. Presha yako ilikuwa imezidi 180/110 mmHg ambacho ni kiwango cha dharura ''emergency/urgency'' kwa hiyo lengo la kwanza ni kutoka kwenye hiyo dharura yani isome chini ya 180/110mmHg na lengo la pili ni presha kusoma chini ya 140/90 mmHg na lengo la tatu ni kusoma chini ya 120/80mmHg.
Chakula. Adui yako mkubwa kuanzia sasa ni chumvi, jitahidi kupunguza chumvi kwenye chakula na utumizi wa vyakula cha viwandani maana huwa na kiwango kikubwa cha sodium. Kiwango kikubwa cha chakula chako kiwe matunda na mbogamboga. Kama ni mtumizi wa pombe jitahidi kupunguza hadi chupa mbili kwa siku kama ni mwanaume au chupa moja na nusu kama ni mwanamke.
Mazoezi. Jitahidi kufanya mazoezi angalau kwa dakika 30 kwa siku, siku tatu kwa wiki. Hii itasaidia pia kupunguza uzito wa mwili na kupelekea kupungua kwa presha.
Nikutakie siku njema.
Punguza msongo wa mawazo ''stress''. Jitahidi kupumzika vizuri maana msongo wa mawazo unachangia kwa kiasi kikubwa kupandisha presha.
Nashukuru kwa ushauri.Ningekua wewe ningeanza na life style modifications approach kuimanage hiyo pressure.
Ningepunguza sana chumvi.
Ningeacha myama nyekundu
Ningeacha kahawa
Ningeacha pombe
Ningepunguza sana stress
Ningeanza mazoezi madogo madogo ya kutembea
Ningezingatia chakula chenye nutrients stahiki
Na kadhalika.
Zingatia: Miongoni mwa vyanzo vikubwa kabisa vya ugonjwa sugu wa figo (Chronic Kidney Disease (CKD)) ni pressure ya juu ya damu (Hypertension) . Hivyo, jitahidi sana pressure iwe controlled maana ukishaingia kwenye mambo ya figo, game over, your life will nevr be the same.
Bado inasoma juu sana. Hata kama unajisikia vizuri bado upo kwenye hatari. Naona tatizo hapo ni aina ya dawa. Rudi kwa daktari na kama unaweza muone daktari bingwa.Ahsante kwa ushauri mzuri. Niwe mwazi kabisa. Dawa nilizoanza kutumia nimesitisha. Jana na leo sijatumia, na sababu za kusitisha ni kwamba baada ya kuanza tu kutumia, ahsubuhi yake nikaanza kusikia mwili hauna nguvu. Nikajua ni kwa kuwa nilikojoa sana usiku huo.
Ahsubuhi nikaanza kunywa maji. Nilikunywa maji lita 5. Nilikojoa sana. Jioni ile hali ya mwili kukosa nguvu niliendelea kuisikia mpaka jioni ya saa 2 usiku.
Nikanyanyua simu kuongea na dr m1 ambaye ni rafiki yangu. Akanishauri nikacheck tena, labda kipimo cha mwanzo hakikuwa sahihi. Nikaenda kupima, this ilikuwa sehemu nyingine. Kupima ikasoma 180/110 imepungua 7/5.
Nikarudi home, nikanywa dawa. Kukojoa kama kawa. Ahsubuhi ile hali ya kuishiwa nguvu nikaona kama imezidi. Nikaendele kunywa maji lita 5 nyingine. Mpaka jioni nikajiona sipo sawa tofauti na kabla ya kuanza kutumia dawa.
Kwa hiyo usiku huo sikutumia tena dawa. Nikaamka kidogo nipo poa. Jana tena sijatumia, leo nimeamka mzima kabisa.
Nimeamua kuacha dawa kwa muda na sasa nabadili staili ya vyakula.
Ni mwendo wa mbogamboga, matunda, kupunguza chumvi na mazoezi.
Leo jioni nitaenda kucheck. Nitaleta mrejesho hapa.
Ahsante.