Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

Mimi sio mzee wasira. Japo najua joking. Hiyo ni avata tu.
 
Ahsante mkuu.
 
...Hebu mkuu zitaje hizo dawa za Asili za mitishamba. Nina hakika Utasaidia Wengi [emoji120]
Mkuu HAKUNA dawa ya asili ya presha ya kupanda.
Dawa Ni kula kwa wakati na kipi unachokula . Usikae na njaa muda mrefu. Presha utaitokomeza.
 
Ushauri wangu pressure yako bado siyo ya kutumia dawa anza kufanya mazoezi
 
Dawa ni muhimu. Sema hujapata ile inayokufaa. Nenda kwa wataalamu wa mambo hayo na useme dawa uliyopewa na vile ilikufanya. My dad ana pressure hua anapima kila siku anarecord na anakunywa dawa asubuhi na jioni. Pressure ikawa inaenda vizuri akapunguza dozi anywe mara moja kwa siku haikuchukua hata masaa 24 akaanza kujiskia vibaya ikabid aendelee na dozi ya mara 2 kwa siku.
Yeye katika dawa zake kuna aspirin pia kulainisha damu.

Japo anakunywa dawa anajitahid kula vizuri pia. Kwahiyo na wewe kaka jitahid kuonana na wataalamu unaweza siku ukashangaa unainua mkono hauinuki.
 
Jaribu pua dawa za asili za miti. Achana na za kununua kuna za kuelekezwa ujatumia mwenyewe. Zinaweza kukusaidia sana
Dawa za miti shamba ni hatari kwa figo achaneni nazo
 
Mimi
Mmh... ..

Zimetulea..

Hata za mzungu nazo ni sumu pia.
Kapime figo, na visa vya watu 2 walikuwa ni watumiaji wa zuri wa miti shamba kwa muda mrefu hivi ninavyoongea wote wanahudhiria dialysis 2 na 3 kwa week.

Dawa za hospital zina viwango na description zinazoeleweka kitaaluma, mti shamba ni ramli.
 
Pole sana Mkuu kila la heri katika matibabu yako.

 
Dawa za pressure hunywewa asubuhi. Unless iwe umefanyiwa kipimo cha kurecord saa 24 na kuonekana una tatizo wakati wa usiku. Nenda hospitali kubwa kama JKCI watakusaidia
 
Cheza na huo mmea ndani ya wiki mbili utakuja kutupa mrejesho. Hii ni kiboko ya presha, kisukari, vidonda vya tumbo na kipanda uso. All the best mkushi

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…