Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—Ÿ๐—˜๐—ข ๐—ฆ๐—”๐—ฌ๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ญ๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—•๐—” ๐—ญ๐—œ๐—ง๐—”๐—ข๐—ก๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—จ๐—ง๐—”๐—ญ๐—œ๐—ข๐—ก๐—” ๐—ง๐—˜๐—ก๐—” ๐—›๐—”๐——๐—œ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฐ๐Ÿฌ

1.png


๐Ÿ˜‰ Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.

2.png


๐Ÿ’ก Leo jioni tukio la Nadra la Sayari kuonekana live litaweza kutokea wiki hii ya mwisho wa Mwezi Februari usipojaaliwa kuiona Leo basi mpaka 2040 ndo zitaweza kuonekana tena kwenye macho ya watu Sayari zote saba.

๐Ÿ”† Utaweza kuziona kuanzia Mars,Jupiter, Uranus, Venus(Zuhura), Neptune, Mercury na Saturn (Zohari) ๐Ÿช huku muda Bora wa kutizama ni wakati wa jua linapozama mida ya jioni.

Sayari Saba ๐Ÿ’ก.png


๐Ÿš€ Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona.
 
Tutatambuaje kama hizi ndizo sayari maana ni ngumu kuzitofautisha na nyota zingine kwa kuwa ukubwa wa nyota na sayari ni kama unalingana tu na hizo heavenly bodies ni kama nyingi sana so inakuwia vigumu kutambua kipi ni kipi
Muulize uangalie upande upi na mida ni saa ngapi?
 
Kuna kile kikundi cha nyota ziko kama sita hivi na kuna zingine tatu zimepangana halafu kuna mbili kubwa moja huwa mashariki na nyingine huwa magharibi, hizi nyota kuna muda huwa hazipo angani au uhama eneo kuelekea magharibi na huibuka tena mashariki kama jua na kama mwezi, nyota hizi kuna zingine hupotea muda mrefu sana kisha huja kuibuka tena
 
Back
Top Bottom