LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Hata nikiangalia naona nyota nyota tu huenda ndo hizo maana hazina utofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nikiangalia naona nyota nyota tu huenda ndo hizo maana hazina utofauti
Itakusaidia nini kwenye maisha yakoNitakuwa makini kweli kuzitazama hiyo jioni.Asante
ni wale wenye umri mkubwa kwa sasa wana miaka 80 na 90 mpaka mwaka 2040 watakuwa na miaka 10Km nani atakua marehemu?
Acha ufala kwani yeye ni Mungu badala umshukuru Mungu kwa uhai na anga unamshukuru mwanadamu u siuchawa sasa ni ujingaTUNAMSHUKURU SANA MAMA KWA KUTUWEZESHA KUZIONA HIZO SAYARI..MITANO TENA.
Kurefresh mind mkuu....ni msaada mkubwa sana kwangu kwa muda huoItakusaidia nini kwenye maisha yako
Kwanini sayari ya Jupiter ina kitu kama ringi/pete kuizunguka tofauti na sayari zingine?𝗟𝗘𝗢 𝗦𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗜𝗟𝗘 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗜𝗧𝗔𝗢𝗡𝗘𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗨𝗧𝗔𝗭𝗜𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗗𝗜 𝟮𝟬𝟰𝟬
View attachment 3251250
😉 Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.
View attachment 3251252
💡 Leo jioni tukio la Nadra la Sayari kuonekana live litaweza kutokea wiki hii ya mwisho wa Mwezi Februari usipojaaliwa kuiona Leo basi mpaka 2040 ndo zitaweza kuonekana tena kwenye macho ya watu Sayari zote saba.
🔆 Utaweza kuziona kuanzia Mars,Jupiter, Uranus, Venus(Zuhura), Neptune, Mercury na Saturn (Zohari) 🪐 huku muda Bora wa kutizama ni wakati wa jua linapozama mida ya jioni.
View attachment 3251253
🚀 Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona.
Wamesema jioni mkuu,au sijasoma vyema?umejua zitakuwa upande gani na muda gani usiku?
Daaaa! Mkuu, mbona hivyo? Haujaelewa maana ya huu ujumbe wake? Jamaa "anawakejeri" wale waimba MAPAMBIO, ambao kila kitu, ni 'MAMA, MAMA, NANI KAMA MAMA'!Acha ufala kwani yeye ni Mungu badala umshukuru Mungu kwa uhai na anga unamshukuru mwanadamu u siuchawa sasa ni ujinga
Wasira?ni wale wenye umri mkubwa kwa sasa wana miaka 80 na 90 mpaka mwaka 2040 watakuwa na miaka 10
0 na zaidi kitu ambacho ni nadra sana kufikisha umri huo maishani
mpaka mwaka 2040 atakuwa ana miaka mingapi?Wasira?
90mpaka mwaka 2040 atakuwa ana miaka mingapi?
Hali ya hewa ya dar huwa haitabiriki mkuu, kwa mtu aliyeamka kuanzia mida ya saa mbili asubuhi angeweza kukuona muongo, kwa jua linalowaka muda huu utadhani hakukuwa na mawingu mazito wala dalili ya mvua masaa machache yaliyopitaKuna dalili ya kuwa na mawingu siku ya Leo!!!
Just try to spot anything in a straight line mkuu, umeshaambiwa zitakuwa kwenye mstari mmoja mnyoofu, hizo nyota and other heavenly bodies mara nyingi huwa ziko scattered au hutengeneza random shapesTutatambuaje kama hizi ndizo sayari maana ni ngumu kuzitofautisha na nyota zingine kwa kuwa ukubwa wa nyota na sayari ni kama unalingana tu na hizo heavenly bodies ni kama nyingi sana so inakuwia vigumu kutambua kipi ni kipi
Mkuu mbona siyo jupiter pekee yenye rings, hata saturn, uranus, na neptune nazo zina rings, tena saturn ndio maarufu kwa kuwa na rings maana zake ni kubwa, na huonekana zaidi kuliko rings za hizo sayari nyingine, ambazo ni ndogo na huonekana kwa tabuKwanini sayari ya Jupiter ina kitu kama ringi/pete kuizunguka tofauti na sayari zingine?
Ina maana hiyo pete haviachani na sayari tangu kuumbwa kwake?
atakuwemo kama hana changamoto za kiafya
Maderu, Konda wa A Town, na Wassira.Km nani atakua marehemu?
Wewe ndio maana juzi walikupiga anTUNAMSHUKURU SANA MAMA KWA KUTUWEZESHA KUZIONA HIZO SAYARI..MITANO TENA.
Kweli mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣Mwezi huu niliona Kama nyota 21 zimepangana zikifuatana angani.Nilishangaa sikujua ni kitu gani.