Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Hapa nilipo najaribu kufuatilia hili tukio ila kwa bare eyes naona kama zipo tatu tu kwa sasa zilizo katika mstari mnyoofu. Kuna nyingine hii moja kubwa ila iko pembeni na si kwenye mstari mnyoofu ila ukubwa wake unanifanya nione nayo ni sayari. Mstari wangu mnyoofu nauchorea kutoka hii ambayo iko karibu na jua lilipozamia kisha inafuata hii kubwa na ya tatu ambayo ni ndogo kidogo.

Pengine nyingine zitazidi kuonekana kadri hii ya kwanza inapoelekea kuzama lilipozamia jua. Kama mleta mada uko online nipe hints za kuziona hizo nyingine nne.
 
hateeb10 mkuu unalizungumziaje suala hili, hizi sayari ni flat au round. 👀
Wewe unaonaje? Dunia ni sayari? na je ina sifa sawa na hizo objects nyingine zilizopewa jina la sayari?

Uthibitisho kwamba Dunia ina sifa sawa na hizo objects nyingine upo wapi?

Je, kuna objects inayo support maisha, ukiachana na Dunia?, kama hakuna, kwanini tunaiweka Dunia kwenye kundi moja na vitu ambavyo havina sifa za kufanana?
 
Mimi nilihitaji mawazo yako mtaalamu,

Kuhusu sayari zingine kua na sifa sawa na dunia, hapa flat earther mkishaitaja fimamenti. Inakua balaa kwenda kuchunguza mkuu
 
Back
Top Bottom