Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Leo sayari zile 7 zitaonekana angani kwa mara ya mwisho na hutaziona tena hadi mwaka 2040

Wakuu mimefatilia nimeona wanasema kwa hapa tanzania itaonekana maeneo ya majimatitu huku mbagala wakuu
 
hateeb10 mkuu unalizungumziaje suala hili, hizi sayari ni flat au round. 👀
 
Nikijipata kama tajiri Poor Brain ntanunua ile darubini wazungu wanawekaga nje au seblebi kwa ajili ya kuangalizia angani.

Hapa vingunguti kidarajani hatuwezi kuziona hizo sayari, kuinua macho juu ni kuiweka simu yako rehani
 
Nikijipata kama tajiri Poor Brain ntanunua ile darubini wazungu wanawekaga nje au seblebi kwa ajili ya kuangalizia angani.

Hapa vingunguti jidarajani hatuwezi juziona hizo sayari, kuinua macho juu ni kuiweka sumu yako rehani
Ila vingunguti bana..
Nilipita juzi aiseeee. Mna hatari watu wote wa vingunguti mna uwezo wa kuwa alshababi aiseeee..

Hili suala mama samia aliingilie kati
 
Angani usiku kuna vitu vitu vinachanganya sana kwa mionekano yake ya kuwakawaka na kutoa mwanga na miale. Kuna nyota, sayari, vimondo, satelaiti na ndege ongeza na wadudu na vibwengo. Vile ambavyo vimetulia havisogei kwa haraka ndio huchanganya haijulikani zipi ni nyota na zipi ni sayari zote zinafanana. Ndege zisizo na kitaa chekundu kinachowakawaka nazo huwa ni ngumu kuzitofautisha na satelaiti. Kuna wale wadudu wawakao usiku nao ni vigumu kuwatofautisha na vibwengo. Vimondo vyenyewe vina kasi kasi kubwa na hupotea haraka angani. Ishu ni kutofautisha nyota na sayari wakati wa usiku zote hufanana
Mimi kwakweli naogopaga kuangalia angani nisije kuviona hivyo vibwengo nishindwe kulala looh😃😃
 
Kuna kile kikundi cha nyota ziko kama sita hivi na kuna zingine tatu zimepangana halafu kuna mbili kubwa moja huwa mashariki na nyingine huwa magharibi, hizi nyota kuna muda huwa hazipo angani au uhama eneo kuelekea magharibi na huibuka tena mashariki kama jua na kama mwezi, nyota hizi kuna zingine hupotea muda mrefu sana kisha huja kuibuka tena
Hizo ni nyota. Na zina majina yake
Nafkiri unaongelea Taurus. Na kuna great hunter.
Kuna southern cross na northern cross.
Ukisoma astronomy unazifaham. Very interesting
Huwa hazipotei...sema kutokana na mzunguko wa dunia na kubadilika kwa majira ndio huwa zinatokea time tofauti. Zinatoka late night
 
Angani usiku kuna vitu vitu vinachanganya sana kwa mionekano yake ya kuwakawaka na kutoa mwanga na miale. Kuna nyota, sayari, vimondo, satelaiti na ndege ongeza na wadudu na vibwengo. Vile ambavyo vimetulia havisogei kwa haraka ndio huchanganya haijulikani zipi ni nyota na zipi ni sayari zote zinafanana. Ndege zisizo na kitaa chekundu kinachowakawaka nazo huwa ni ngumu kuzitofautisha na satelaiti. Kuna wale wadudu wawakao usiku nao ni vigumu kuwatofautisha na vibwengo. Vimondo vyenyewe vina kasi kasi kubwa na hupotea haraka angani. Ishu ni kutofautisha nyota na sayari wakati wa usiku zote hufanana
LOTH HEMA sayari mwako wake unatulia na kung'aa sana.
Nyota zinametameta na mwako wake upo hafifu kdg. Hasa zikiwa ndogo sana
 
Hizo ni nyota. Na zina majina yake
Nafkiri unaongelea Taurus. Na kuna great hunter.
Kuna southern cross na northern cross.
Ukisoma astronomy unazifaham. Very interesting
Huwa hazipotei...sema kutokana na mzunguko wa dunia na kubadilika kwa majira ndio huwa zinatokea time tofauti. Zinatoka late night
Physics ya form three hiyo Kuna mwl alifundisha miezi miwili, topic zingine hakumaliza hadi nikapata maswali form four
 
𝗟𝗘𝗢 𝗦𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗜𝗟𝗘 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗜𝗧𝗔𝗢𝗡𝗘𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗨𝗧𝗔𝗭𝗜𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗗𝗜 𝟮𝟬𝟰𝟬

View attachment 3251250

😉 Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.

View attachment 3251252

💡 Leo jioni tukio la Nadra la Sayari kuonekana live litaweza kutokea wiki hii ya mwisho wa Mwezi Februari usipojaaliwa kuiona Leo basi mpaka 2040 ndo zitaweza kuonekana tena kwenye macho ya watu Sayari zote saba.

🔆 Utaweza kuziona kuanzia Mars,Jupiter, Uranus, Venus(Zuhura), Neptune, Mercury na Saturn (Zohari) 🪐 huku muda Bora wa kutizama ni wakati wa jua linapozama mida ya jioni.

View attachment 3251253

🚀 Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona.
Hiyo 2040 Mwigulu atakuwa anamaliza awamu yake ya kwanza.
 
Tutatambuaje kama hizi ndizo sayari maana ni ngumu kuzitofautisha na nyota zingine kwa kuwa ukubwa wa nyota na sayari ni kama unalingana tu na hizo heavenly bodies ni kama nyingi sana so inakuwia vigumu kutambua kipi ni kipi
Sayari mwanga wake ni mng'aro wa moja kwa moja kama tochi hivi haumetimeti, mfano ile inaitwa nyota ya asubuhi ni sayari
 
Back
Top Bottom