Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 490
- 1,351
Hapa nilipo najaribu kufuatilia hili tukio ila kwa bare eyes naona kama zipo tatu tu kwa sasa zilizo katika mstari mnyoofu. Kuna nyingine hii moja kubwa ila iko pembeni na si kwenye mstari mnyoofu ila ukubwa wake unanifanya nione nayo ni sayari. Mstari wangu mnyoofu nauchorea kutoka hii ambayo iko karibu na jua lilipozamia kisha inafuata hii kubwa na ya tatu ambayo ni ndogo kidogo.
Pengine nyingine zitazidi kuonekana kadri hii ya kwanza inapoelekea kuzama lilipozamia jua. Kama mleta mada uko online nipe hints za kuziona hizo nyingine nne.
Pengine nyingine zitazidi kuonekana kadri hii ya kwanza inapoelekea kuzama lilipozamia jua. Kama mleta mada uko online nipe hints za kuziona hizo nyingine nne.