Maelezo yake hakidhiKuna dalili ya kuwa na mawingu siku ya Leo!!!
Ila vingunguti bana..Nikijipata kama tajiri Poor Brain ntanunua ile darubini wazungu wanawekaga nje au seblebi kwa ajili ya kuangalizia angani.
Hapa vingunguti jidarajani hatuwezi juziona hizo sayari, kuinua macho juu ni kuiweka sumu yako rehani
Tushazoea mkuu.Ila vingunguti bana..
Nilipita juzi aiseeee. Mna hatari watu wote wa vingunguti mna uwezo wa kuwa alshababi aiseeee..
Hili suala mama samia aliingilie kati
Mimi kwakweli naogopaga kuangalia angani nisije kuviona hivyo vibwengo nishindwe kulala looh๐๐Angani usiku kuna vitu vitu vinachanganya sana kwa mionekano yake ya kuwakawaka na kutoa mwanga na miale. Kuna nyota, sayari, vimondo, satelaiti na ndege ongeza na wadudu na vibwengo. Vile ambavyo vimetulia havisogei kwa haraka ndio huchanganya haijulikani zipi ni nyota na zipi ni sayari zote zinafanana. Ndege zisizo na kitaa chekundu kinachowakawaka nazo huwa ni ngumu kuzitofautisha na satelaiti. Kuna wale wadudu wawakao usiku nao ni vigumu kuwatofautisha na vibwengo. Vimondo vyenyewe vina kasi kasi kubwa na hupotea haraka angani. Ishu ni kutofautisha nyota na sayari wakati wa usiku zote hufanana
Hizo ni nyota. Na zina majina yakeKuna kile kikundi cha nyota ziko kama sita hivi na kuna zingine tatu zimepangana halafu kuna mbili kubwa moja huwa mashariki na nyingine huwa magharibi, hizi nyota kuna muda huwa hazipo angani au uhama eneo kuelekea magharibi na huibuka tena mashariki kama jua na kama mwezi, nyota hizi kuna zingine hupotea muda mrefu sana kisha huja kuibuka tena
LOTH HEMA sayari mwako wake unatulia na kung'aa sana.Angani usiku kuna vitu vitu vinachanganya sana kwa mionekano yake ya kuwakawaka na kutoa mwanga na miale. Kuna nyota, sayari, vimondo, satelaiti na ndege ongeza na wadudu na vibwengo. Vile ambavyo vimetulia havisogei kwa haraka ndio huchanganya haijulikani zipi ni nyota na zipi ni sayari zote zinafanana. Ndege zisizo na kitaa chekundu kinachowakawaka nazo huwa ni ngumu kuzitofautisha na satelaiti. Kuna wale wadudu wawakao usiku nao ni vigumu kuwatofautisha na vibwengo. Vimondo vyenyewe vina kasi kasi kubwa na hupotea haraka angani. Ishu ni kutofautisha nyota na sayari wakati wa usiku zote hufanana
Hahahaha hahahaha daah ndio unawachukia hivi ๐๐๐๐๐Huo mwaka viongozi wengi wa ccm watakuwa marehemu
Physics ya form three hiyo Kuna mwl alifundisha miezi miwili, topic zingine hakumaliza hadi nikapata maswali form fourHizo ni nyota. Na zina majina yake
Nafkiri unaongelea Taurus. Na kuna great hunter.
Kuna southern cross na northern cross.
Ukisoma astronomy unazifaham. Very interesting
Huwa hazipotei...sema kutokana na mzunguko wa dunia na kubadilika kwa majira ndio huwa zinatokea time tofauti. Zinatoka late night
wewe angalia tu,mpaka shingo ipinde!!sasa kama huwa huangalii angani usiku utazionaje?
Hiyo 2040 Mwigulu atakuwa anamaliza awamu yake ya kwanza.๐๐๐ข ๐ฆ๐๐ฌ๐๐ฅ๐ ๐ญ๐๐๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ญ๐๐ง๐๐ข๐ก๐๐๐๐ก๐ ๐๐ก๐๐๐ก๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข ๐จ๐ง๐๐ญ๐๐ข๐ก๐ ๐ง๐๐ก๐ ๐๐๐๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฐ๐ฌ
View attachment 3251250
๐ Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua siku ya Mwisho kuziona kama bado hujaziona.
View attachment 3251252
๐ก Leo jioni tukio la Nadra la Sayari kuonekana live litaweza kutokea wiki hii ya mwisho wa Mwezi Februari usipojaaliwa kuiona Leo basi mpaka 2040 ndo zitaweza kuonekana tena kwenye macho ya watu Sayari zote saba.
๐ Utaweza kuziona kuanzia Mars,Jupiter, Uranus, Venus(Zuhura), Neptune, Mercury na Saturn (Zohari) ๐ช huku muda Bora wa kutizama ni wakati wa jua linapozama mida ya jioni.
View attachment 3251253
๐ Kumbuka Sayari ambazo utaziona kwa uzuri kupitia macho yako ni Venus, Jupiter, Mars zitaonekana wazi Huku Sayari zingine utaziona lakini kwa Udhaifu hivyo itakupa umakini wa kutulia Angani ili kuziona.
Huko mlipo Nyarugusu anga zenu zina laana kwa hiyo hamtaziona.ilo tukio ni uko bongo tu au ata uku tulipo pia?
๐๐๐๐๐๐๐TUNAMSHUKURU SANA MAMA KWA KUTUWEZESHA KUZIONA HIZO SAYARI..MITANO TENA.
Sayari mwanga wake ni mng'aro wa moja kwa moja kama tochi hivi haumetimeti, mfano ile inaitwa nyota ya asubuhi ni sayariTutatambuaje kama hizi ndizo sayari maana ni ngumu kuzitofautisha na nyota zingine kwa kuwa ukubwa wa nyota na sayari ni kama unalingana tu na hizo heavenly bodies ni kama nyingi sana so inakuwia vigumu kutambua kipi ni kipi
Kazi iendelee na Hilo nalo mkaritazameTUNAMSHUKURU SANA MAMA KWA KUTUWEZESHA KUZIONA HIZO SAYARI..MITANO TENA.