UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 1,166
- 3,870
16.Michezo ya siasa inajulikana, kama kuundiana scandal, kupeana makesi ya hovyohovyo, ku- blackmail n.k. hiyo ndio michezo ya siasa ambayo duniani kote IPO.
Sasa hapo wewe na watekaji mnatofauti Gani?
Lissu yupo gerezani kwa kesi za hovyo unaona ndio siasa safi.
Maandishi yako ya kutembelea neutral yatauponza in either way.
Sasa hapo wewe na watekaji mnatofauti Gani?
Lissu yupo gerezani kwa kesi za hovyo unaona ndio siasa safi.
Maandishi yako ya kutembelea neutral yatauponza in either way.