"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye alivyo kichwa cha Kanisa... Lakini kama vile Kanisa lilivyo chini ya Kristo, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zenu katika kila jambo."
Haka ka mstari acha nikahifadhi kwa matumizi ya badaeView attachment 3620061
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la ndoa na kutafuta njia mbadala zisizo za asili kama vifaa vya ngono (dildo).
Mwishowe atatmani kubadili jinsia (transgender) kwa kisingizio cha mafanikio ya degree 4. Hii inakiuka kabisa uumbaji na asili ya mwanamke. Elimu ya juu haiondoi thamani ya huduma ya upendo na unyenyekevu ndani ya nyumba.
Biblia inabainisha wazi majukumu na nafasi ya mwanamke kwa mume wake katika Waefeso 5:22-24:
Labda kaoaHuyu iv kaolewa kweli
basi binti yako ataishia kuliwa na kuzaa bila ndoa kwa kuwa ana usomiHuwez somesha binti yako hadi masters na kuendelea ili aishie kuja kuwa tegemezi kwa mwanaume.
Acheni ussengge.
kaachikaHuyu iv kaolewa kweli
Wewe tafuta mkulima mwenzako ambaye hakwenda shule ili umuendeshe kama mashine.basi binti yako ataishia kuliwa na kuzaa bila ndoa kwa kuwa ana usomi
mzee binti yako akijipendekeza kwangu nakula, sitajali usomi wakeWewe tafuta mkulima mwenzako ambaye hakwenda shule ili umuendeshe kama mashine.
Mwanaume gani unaogopa mwanamke aliyesoma vidato.
kwa akili hizo huwezi kumpata abadanimzee binti yako akijipendekeza kwangu nakula, sitajali usomi wake
unamchunga sana ee?kwa akili hizo huwezi kumpata abadani
Sinaga muda wa kuwasoma au kuwasikiliza hao wanaoshindana na nature, kamwe hawatshinda.View attachment 3620061
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la ndoa na kutafuta njia mbadala zisizo za asili kama vifaa vya ngono (dildo).
Mwishowe atatmani kubadili jinsia (transgender) kwa kisingizio cha mafanikio ya degree 4. Hii inakiuka kabisa uumbaji na asili ya mwanamke. Elimu ya juu haiondoi thamani ya huduma ya upendo na unyenyekevu ndani ya nyumba.
Biblia inabainisha wazi majukumu na nafasi ya mwanamke kwa mume wake katika Waefeso 5:22-24:
Na mimba unampa unamwacha akalee mimba kisomi.huyo dogo akikua lazma akutafute baba yake. kama mim nlivyokua nkamtafuta mshua nkaanza kuiba pesa za mama na kumpelekea mshua mpaka kamalizia nyumba yake wanaishi na mkewe pazuri alhamdudlah.ila mama ananikataza kuwa karibu na bb laki haiwezekan.so vijana, msioe wasomi wajuaj sana nikupga na kutembea.mama yangu na usomi wake kanambia ntae mwoa asizid fom4 .wakat mama yangu ana phd.nathan anajua usomiwake alipouleta kwenye mahusiano kilichotokeamzee binti yako akijipendekeza kwangu nakula, sitajali usomi wake