Acha ujinga wewe, kila siku RC anajidhihirisha kuwa ni shetani kabisa aliyejificha kupitia hiyo dini.
Miaka ya 2020 Papa alidai kuwa "BIBLIA imepitwa na wakati inabidi ibadilishwe baadhi ya vifungu ili iendane na dunia ya sasa"
MASWALI:
1. Je Mungu ni mwongo hadi Papa akaidi agizo lake Mungu[emoji848][emoji116]
MATHAYO 24:35.
YOHANA 17:17.
2. Papa ana ukuu upi mbele za BWANA hadi apunguze na kuongeza (editing) neno lake Mungu [emoji848][emoji116]
UFUNUO WA YOHANA 22:18-19.
3. Yesu hakubadili NENO LA MUNGU "BIBLIA", Papa ni nani haswa kwa BWANA hadi atengue BIBLIA[emoji848][emoji116]
MATHAYO 5:17.
4. MUNGU habadiliki kamwe, Papa anamshuhudia vipi Mungu kuwa ni Kigeugeu [emoji848][emoji116]
WAEBRANIA 13:8.
MALAKI 3:6.
5. Wapi ktk BIBLIA Mungu kaagiza Papa aje kubadili hivyo vifungu vya BIBLIA?
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app