Uchafuzi wa hali ya hewa kwa mgongo wa dini bado ni tatizo sana Tanzania. Hua najiuliza hizi misikiti haiwezi kuishi bila vipaza sauti? Hivi hata huko ulaya ni mavipaza sauti tu?
Nadhani ifike mahala watu wafundishwe panctuality, nina boss wangu ni muislamu, jamaa nadhani hahitaji kipaza sauti, yuko so panctual, muda ukikaribia tu jamaa ataomba radhi ya udhulu na kuondoka, swala zote.
Sasa watu wote wakiwa hivyo hizi kelele hazitakuwepo. Hata makanisa yatumie sound proof. Kuna kanisa niko nalo hapa jirani, siku ya jumapili ni balaa tupu.
Hivi vitu vile regulated.