Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na Waislam kwenye vipaza sauti vyao

Usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani Misikitini basi mpaka Saa 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika saa 10 wakarudi tena mpaka sasa

Zamani nilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
kilicho kusukuma kuandika ulichoandika wewe ni ubaguzi wako wa kiimani tu wala hakuna kingine.
 
Hapa Tunduma nimeshangaa kukuta hawa vijana wanao burn movies na nyimbo. Kama wameambizana vile wanakua na spika 2 zenye urefu kama futi 3 sasa hizo kelele zinapigwa hapo mpaka usiku.
Watu wa huku wanajionea sawa tu, hakuna anayejali. Kama hakuna serikali wa viongozi.
 
Hujakutana na wale washenzi was vigodoro.
1671222419711.jpg
 
Ila watu bana humu wanawashupalia Waislamu wakati inajulikana kabisa dini gani huwa wanakesha wakiomba na kuimba usiku kucha na wakati mwingine mchana kutwa.Hizo dakika chache za adhana ndio zinawatoa roho??
 
kilicho kusukuma kuandika ulichoandika wewe ni ubaguzi wako wa kiimani tu wala hakuna kingine.
Ningesema jirani yangu alikesha anapiga muziki ungesema namchukia jirani au mnamuonea wivu hajanialika....vyovyote utakavyoamua kusema Ila ukweli unabaki palepale hakuna sababu ya tusiohusika kulala usiku kucha tukisikiliza mambo yasotuhusu kupitia kipaza sauti ni noise pollution ambayo sio nzuri kiafya na ndio mana watu wanazilalamikia bar na makanisa yenye vipaza sauti yaliyokaribu na makazi ukweli utabaki kuwa hivyo rafiki hakuna chuki hapo ustaarabu ni KITU cha bure na uhuru ukizidi sana haipendezi
 
Hizi hoja zote nimeshawahi kukujibu kwa mapana na marefu hakuna jipya utakaloleta maana halipo.

Huna chochote cha kunijibu maana sio wewe uliyatenda, ni hilo lizee lenu mnaloliabudu bila aibu lilifumua katoto ka miaka 9, labda kama na wewe unayatenda huko.
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.

Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Wapeleke mahakaman
 
Ndio maana kuna Uzi wangu huu "Hivi humu kuna great thinkers au...?"

Niligusia kuwa kuna watu ili wapate attention katika nyuzi zao basi lazima Uislamu utukanwe,maana ukigusa kuhusu Uislamu basi lazima upate wasomaji na wachangiaji WA kutosha
Na wachangiaji wakaachana na makanisa ya kilokole, mabar na club zinazopiga kelele kila siku wote wakaamia kwa waisalma. Kazi sana. Sema mtu akishaeka chuki huwezi mbadilisha labda Allah atake mwenyewe
 
Watoto wa madrasa hawawezi kukuelewa
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.

Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
 
Huna chochote cha kunijibu maana sio wewe uliyatenda, ni hilo lizee lenu mnaloliabudu bila aibu lilifumua katoto ka miaka 9, labda kama na wewe unayatenda huko.
MK254 Punguza ukali wa maneno buda
 
ILE NI NOISE POLLUTION KAMA ZINGINE, HAPO LINGEKUWA KANISA WANGEVAA MADELA YAO MEUPE WAKAANDAMANA
 
Dini Ya Haki Hiyo, Lazima Speaker Itumike Barabara
 
Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.

Ila nchi za kiislamu kama tanzania adhana ni popote tu mpaka raha, alhamdulillah kwa neema hii.
Nchi za kiislam kama tanzania??

Amka usingizini mkuu, kumekucha
 
Si kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.
Tanzania ni nchi ya kiislamu ndio maana tunafanya tunavyopenda kwa mujibu wa dini yetu tena kwa uhuru wala hakuna anayetusumbua.
Nchi ya kiislam halafu hapohapo mnalalamika kuwa mnatawaliwa na mfumo kristo.

Nyie jamaa ni wapumbavu sana
 
Tatizo ni watu wa mipango miji na wanaotoa vibali waumini wanaweza kujenga misikiti au makanisa bila kujali kuwa hayo ni makazi ya watu
 
Freemason utumia hata viongozi wa serikali Ili kuipinga dini kama walivyofanya Rwanda.Mimi sijawahi sikia mtu akipinga kelele za bar au night clubs usiku kucha, lakini kwa mambo ya dini wanapinga
Hujawahi sikia ila nenda pale banana uliza wakaz wake utasikia vilio vyao. Pale sinza uliza majiran kuzunguka zile bar utasikia lawama zake. Yote kwa yote kelele za usiku na mchana zinakera haijalishi ni za nani
 
Acheni kuwa na dharau kuhusu dini za watu
Hakuna dharau au mtu anasema msisali au kuwaingilia sala zenu, issue ni nyie na hayo maspika usiku kucha mpaka watu wanashindwa kulala, kwani hamuwezi kusali bila kelele za maspika, nina uhakika wakti wa mtume kulikuwa hakuna technology ya maspika na walikuwa wanasali vizuri tuu, usingizi ni muhimu sana kwa afya , salini lakini msiharibu afya za watu kwa makelele ya maspika, au punguzeni sauti za maspika
 
Nenda police sio kuandika Gazeti
 
Back
Top Bottom