Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

ivi kushuoaliaga ilo neno la dini ya haki iyo haki ni ipi wanayomaanisha hawa wavaa kobazi mim bado sijaifaham kwakel
Dini ya haki hamuijui?
Kuna mnigeria Tena ALHAJ mtu mwenye pesa nyingi. Ameoa mtoto wa miaka 11.
Eti wanapendana.!!!!!!!
Wenye dini ya haki wanamshangilia
 
Unaweza kunipa evidence ya Papa kuikana biblia nikawafindishe wapendwa kwenye lesson?
 
Mara nyingi hivi vipaza sauti huanza kuanzia saa 10 alfajiri mpaka saa 12 asubuhi... huu muda ndio muda pia watu wengi huamka luanza mikikimikiki ya siku... KWANGU SIONI TATIZO LOLOTE.

tutakuwa wanafiki kwakulalamikia vipaza sauti vya misikitini na kuacha makelele ya bar, na clubs zinazokesha mitaani na vigodoro mitaani vinavyoharibu watoto na kupiga makelele usiku wote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…