Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!

Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Hivi vichekesho huwa mnadownload wapi?

Kuna tofauti na vile vya Vatican ndio imeanzisha Uislamu?
 
Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!

Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Umeeleweka kiongozi wangu [emoji120]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao,usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa,zamani jilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
Mhh si kwa ubaya Ila usiombe uishi karibu na msikiti au kanisa la kilokole alfu uwe uabudu sehem kokote huko.
 
Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!

Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Tuma hiyo video nisikilize mimi tomaso.

Pia RC hawajawahi fanya kitu bila plan..kunakitu kinatengenezewa don't get fooled...hao ndio watawala wa dunia hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na Waislam kwenye vipaza sauti vyao

Usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani Misikitini basi mpaka Saa 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika saa 10 wakarudi tena mpaka sasa

Zamani nilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa

Kipaza sauti kwenye misikiti ni kwa ajili ya kutolea adhana au kutolea matangazo ya kijamii kama taarifa za misiba nk.

Matumizi mengine ya kipaza sauti mbali na hayo ni Kero sio tu kwa wasiokuwa Waisilamu bali hata kwa Waisilamu wenyewe, Wagonjwa, Wazee nk, kwa jambo hilo BAKWATA inatakiwa iingilie kati na kuwafahamisha masheikh haswa wa Kisunni juu ya matumizi sahihi ya kipaza sauti kwenye misikiti ili kuondoa Kero kwa watu wengine wasiohusika.
 
Not correct wao kuwa na maombi yao kwa sauti si vibaya wanazingatia uhuru wa kuabudu na kutangaza dini yao ama wewe unae wasema wanaibada wenye kukesha kuabudu mola wao (bila kujaji Mungu wa nani ndio sahihi) basi ni kutokana na chuki zako juu ya dini na kuto penda kuabudu na umeridhika kuona akili yako ni sufficient
Dini ni mzigo mzito sana kwako?
 
Back
Top Bottom