Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao,usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa,zamani jilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
Pole sana! Hii ni noise pollution ya wazi kabisa. Pia inaweza kusababishwa na nyumba/kumbi za starehe, makanisa ya kidigitali, nk.

Kuna wakati binadamu hatuna kabisa ustaarabu! Imagine tukio ni la kwao, ila wanaamua kwa makusudi kabisa kubughudhi watu wengine wasiohusika kupitia vipaza sauti, spika kubwa, nk!

Mbaya zaidi, wanafanya nyakati za usiku, wakati wale wasiohusika na hiyo shughili yao, wanahitaji utulivu/kupumzika/kulala baada ya mihangaiko yao ya kutwa nzima. Siyo fair hata kidogo.
 
Hakuna hiyo kanuni
Hapo kanuni ya kipi kimetangulia itafuata.

Huwezi muondoa mtu aliyemfuata.

Wakati una jenga au unapanga si ulimkuta.

Ulipaona na ukaafikiana na hali halisi.
 
Misri wamepiga marufuku vipaza sauti kwenye misikiti. Hata huku tukifikia level za uelewa kama Misri hizo spika za misikitini na kwenye makanisa ya kilokole wataziondoa wenyewe
Asante japo nimeona baadhi ya watu wanaichukulia kama chuki wakati si kweli imagine inapigwa adhana kuita watu wakishafika bado spika zinaachwa on tunasikia yanayoendelea nadhani si sawa
Pole sana! Hii ni noise pollution ya wazi kabisa. Pia inaweza kusababishwa na nyumba/kumbi za starehe, makanisa ya kidigitali, nk.

Kuna wakati binadamu hatuna kabisa ustaarabu! Imagine tukio ni la kwao, ila wanaamua kwa makusudi kabisa kubughudhi watu wengine wasiohusika kupitia vipaza sauti, spika kubwa, nk!

Mbaya zaidi, wanafanya nyakati za usiku, wakati wale wasiohusika na hiyo shughili yao, wanahitaji utulivu/kupumzika/kulala baada ya mihangaiko yao ya kutwa nzima. Siyo fair hata kidogo.
Asante ukiachana na mimi niliekosa usingizi fikiria kuhusu wagonjwa walioko majumbani na siku hizi kuna tabia ya watu kufanya sherehe kwenye nyumba zao basi siku hiyo mtakesha na mziki hakika hii si sawa lazima ukweli usemwe
 
Tuvumiliane
Kwa kweli tuvumiliane, hata sisi kwenye mikesha yenu huwa mnatupa kero ila tunavumilia Kwa kuwa tunajua ndio mnaabudu.

Kero ikizidi hama hapo hamia eneo ambalo ni mbali na misikiti au makanisa.
Uvumilivu uendane na ustaarabu! Hakuna sababu ya msingi ya kuweka vipaza sauti/spika kubwa kwenye nyumba za ibada na kuwabughudhi wengine nyakati za usiku.

Mbona zile kumbi za starehe za kukesha (night clubs) zunapewa masharti ya kuweka sound proof!! Sasa kwa nini nyumba za ibada ziachwe huru kuwapigia watu makele nyakati za usiku?
 
sisi tunaoshi uswahilini wapenda vigodoro tunajiweka wapi kueleza
 
Asante japo nimeona baadhi ya watu wanaichukulia kama chuki wakati si kweli imagine inapigwa adhana kuita watu wakishafika bado spika zinaachwa on tunasikia yanayoendelea nadhani si sawa

Asante ukiachana na mimi niliekosa usingizi fikiria kuhusu wagonjwa walioko majumbani na siku hizi kuna tabia ya watu kufanya sherehe kwenye nyumba zao basi siku hiyo mtakesha na mziki hakika hii si sawa lazima ukweli usemwe
Hata hiyo Azana nayo ni noise pollution tu! Unaniamsha kwa azana, kwani sina uwezo wa kuamka mwenyewe?
 
Hata hiyo Azana nayo ni noise pollution tu! Unaniamsha kwa azana, kwani sina uwezo wa kuamka mwenyewe?
Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.

Ila nchi za kiislamu kama tanzania adhana ni popote tu mpaka raha, alhamdulillah kwa neema hii.
 
Nakumbuka nyakati flan mkoa flani niliwahi shauri watu wakaibe vipaza sauti kisa sauti hizo za kuvuka kilomite.

Nadhani si ustaarabu kabisa. Kusali kwako kusiwe kwazo kwa mwingine. Ni vema kilamtu achunge kumkwaza mwenzake.

Dr shoo sikumoja niliwahi msikia akiambia maaskofu wake kuhakikisha wanafuata taratibubza nemc. Dah nilimwona mtu sana maana anaelewa dini na taratibubza nemc

NA haya makanisa yanayochipukia niwashauri pia si vizuri kupigiana kelele usiku kucha. Weka sauti ya kusikilizana ndan na hamna mtu atakusumbua.

Kilamtu na achunge kumkwaza mwenzake. Mi mkeistu we mpagani sipaswi kukupigia kelele kisa mie mkristu
 
Swallu ala nnabii.
Tunasherekea mazazi ya mtume wetu mtukufu Muhammad bin abdillah.
Tarehe 24 mwezi wa 12.kwa sheikh Mohamed mapinga.
Tunakula MPUNGA.
panapo uzima nitakwenda.
 
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.

Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
hii ni kero kwa dini zote. kwa hiyo ku target dini moja sidhani kama ni sawa kama ulivyoandika wewe hapa.
 
Wafia dini watasema mbona kelele za Bar hamlalamikii!
Uvumilivu wa kiimani ni muhimu..

Japo nyumba za ibada si busara kuwepo katikati ya makazi ya watu ila zikae pembezoni kidogo.
 
Mara moja sio mbaya leo utalala, tuheshimu taratibu za wengine pia, ukiona ngumu hama
 
Nakumbuka nyakati flan mkoa flani niliwahi shauri watu wakaibe vipaza sauti kisa sauti hizo za kuvuka kilomite.

Nadhani si ustaarabu kabisa. Kusali kwako kusiwe kwazo kwa mwingine. Ni vema kilamtu achunge kumkwaza mwenzake.

Dr shoo sikumoja niliwahi msikia akiambia maaskofu wake kuhakikisha wanafuata taratibubza nemc. Dah nilimwona mtu sana maana anaelewa dini na taratibubza nemc

NA haya makanisa yanayochipukia niwashauri pia si vizuri kupigiana kelele usiku kucha. Weka sauti ya kusikilizana ndan na hamna mtu atakusumbua.

Kilamtu na achunge kumkwaza mwenzake. Mi mkeistu we mpagani sipaswi kukupigia kelele kisa mie mkristu
Freemason utumia hata viongozi wa serikali Ili kuipinga dini kama walivyofanya Rwanda.Mimi sijawahi sikia mtu akipinga kelele za bar au night clubs usiku kucha, lakini kwa mambo ya dini wanapinga
 
Back
Top Bottom