Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Saini ya makubaliano ya ujenzi wa kanisa hilo falme za kiarabu TAYARI!Punguza kusoma taarifa za mipasho.
Kati ya papa na Imam makubwa wa kuheshimika!
Wewe Google chrislam UONE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saini ya makubaliano ya ujenzi wa kanisa hilo falme za kiarabu TAYARI!Punguza kusoma taarifa za mipasho.
Huyo shetani amekuingia mkemeeeeeeNaandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na Waislam kwenye vipaza sauti vyao
Usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani Misikitini basi mpaka Saa 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika saa 10 wakarudi tena mpaka sasa
Zamani nilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
Kuna wale wa shalaaaah swalaaaah. dah wanatutishaga kinoma, mara nyumba ndio kaburi lako, shuka ndio sanda. hii kitu ilinifanya nikakate waya za amplifier yao msikiti mmoja mtaani.
WAKUU CHUNGUZENI MAANDIKO VIZURI [emoji144][emoji116]Kuchoma betri kauai imani ya ukristo iliyodumu MIAKA mingi mfano ana nukuliwa akisema jesus is Satan,halafu akiufagilia uislamu KWA Sana, chrislam ni Dini mpya ya NEW WORLD ORDER Inayohubiriwa na Huyo Mzee!
Ndio Binadamu anaechukiwa Sana na jamii ya WAKRISTO duniani KWA Sasa Papa fransis
Shida Watu ni wavivu sana kusoma vitabu mbali mbali ili wapate maarifa.Type word chrislam usome Google, Church hilo linajengwa kule Abu Dhabi (chrislam church)
Hili likemewe na ikiwwzekana lianzishiwe harakati. Maana linaweza kusababisha matatizo ya akili.Kuna walokole pia wansokesha wakisali na kuimba kwa kelele nyingi.. Yani sasa hivi ukipata pa kuishi ambapo sio karibu na hizi nyumba za ibada uta enjoy sana...
Hawajali kuhusu privacy za wengine
Hawajali kuhusu mapumziko ya wengine
Nyie ndo mnasababisha tunatukanwa humu kila siku, kwa kuacha kwenu misingi ya uislamu na kukimbilia kuadhimisha sherehe zisizokuwemo kwenye dini.Swallu ala nnabii.
Tunasherekea mazazi ya mtume wetu mtukufu Muhammad bin abdillah.
Tarehe 24 mwezi wa 12.kwa sheikh Mohamed mapinga.
Tunakula MPUNGA.
panapo uzima nitakwenda.
Aisee huwa inakera sana hasa ukienda mikoa ambayo waislamu wengi. Nadhani ipitishwe sheria iwe marufuku kupigiana keleleNaandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Wewe una chuki sana na uislamu na hili haliupunguzii uislamu chochote, wewe dini yao wanaelewa wewe yanakuuma nini?.Nimewahi kuishi katikati ya misikiti miwili, kila siku asubuhi wanashindana kwa kubatuka kiarabu kwenye vipaza sauti, ilikua inanikera mpaka basi. Bora hata watumie lugha inayoeleweka na watu wote labda ukae usklize wanachokisema, ila abdulilakati akbar sijui na mavitu gani...
Sasa nchi ikiwa ya kiislam ndiyo nini?Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.
Ila nchi za kiislamu kama tanzania adhana ni popote tu mpaka raha, alhamdulillah kwa neema hii.