Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Hivi vichekesho huwa mnadownload wapi?

Kuna tofauti na vile vya Vatican ndio imeanzisha Uislamu?
 
Umeeleweka kiongozi wangu [emoji120]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mhh si kwa ubaya Ila usiombe uishi karibu na msikiti au kanisa la kilokole alfu uwe uabudu sehem kokote huko.
 
Tuma hiyo video nisikilize mimi tomaso.

Pia RC hawajawahi fanya kitu bila plan..kunakitu kinatengenezewa don't get fooled...hao ndio watawala wa dunia hii.

#MaendeleoHayanaChama
 


Kipaza sauti kwenye misikiti ni kwa ajili ya kutolea adhana au kutolea matangazo ya kijamii kama taarifa za misiba nk.

Matumizi mengine ya kipaza sauti mbali na hayo ni Kero sio tu kwa wasiokuwa Waisilamu bali hata kwa Waisilamu wenyewe, Wagonjwa, Wazee nk, kwa jambo hilo BAKWATA inatakiwa iingilie kati na kuwafahamisha masheikh haswa wa Kisunni juu ya matumizi sahihi ya kipaza sauti kwenye misikiti ili kuondoa Kero kwa watu wengine wasiohusika.
 
Dini ni mzigo mzito sana kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…