Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
kilicho kusukuma kuandika ulichoandika wewe ni ubaguzi wako wa kiimani tu wala hakuna kingine.Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na Waislam kwenye vipaza sauti vyao
Usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani Misikitini basi mpaka Saa 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika saa 10 wakarudi tena mpaka sasa
Zamani nilidhani adhana ni ya kuitana Tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa
Ningesema jirani yangu alikesha anapiga muziki ungesema namchukia jirani au mnamuonea wivu hajanialika....vyovyote utakavyoamua kusema Ila ukweli unabaki palepale hakuna sababu ya tusiohusika kulala usiku kucha tukisikiliza mambo yasotuhusu kupitia kipaza sauti ni noise pollution ambayo sio nzuri kiafya na ndio mana watu wanazilalamikia bar na makanisa yenye vipaza sauti yaliyokaribu na makazi ukweli utabaki kuwa hivyo rafiki hakuna chuki hapo ustaarabu ni KITU cha bure na uhuru ukizidi sana haipendezikilicho kusukuma kuandika ulichoandika wewe ni ubaguzi wako wa kiimani tu wala hakuna kingine.
Hizi hoja zote nimeshawahi kukujibu kwa mapana na marefu hakuna jipya utakaloleta maana halipo.
Wapeleke mahakamanNaandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
Na wachangiaji wakaachana na makanisa ya kilokole, mabar na club zinazopiga kelele kila siku wote wakaamia kwa waisalma. Kazi sana. Sema mtu akishaeka chuki huwezi mbadilisha labda Allah atake mwenyeweNdio maana kuna Uzi wangu huu "Hivi humu kuna great thinkers au...?"
Niligusia kuwa kuna watu ili wapate attention katika nyuzi zao basi lazima Uislamu utukanwe,maana ukigusa kuhusu Uislamu basi lazima upate wasomaji na wachangiaji WA kutosha
Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya kelele zinazopigwa na waislam kwenye vipaza sauti vyao, usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa sijui kulikuwa na shughuli gani misikitini basi mpaka SA 8 usiku wanasikika wao tu wakapumzika sa10 wakarudi tena mpaka sasa.
Zamani jilidhani adhana ni ya kuitana tu baada ya hapa kinachoendelea wananchi hatusikii lakini naona ni tofauti kila kitu kinawekwa hewani kila mtu asikie nadhani sio sawa.
πππ€£ππππ ππILE NI NOISE POLLUTION KAMA ZINGINE, HAPO LINGEKUWA KANISA WANGEVAA MADELA YAO MEUPE WAKAANDAMANA
Nchi za kiislam kama tanzania??Adhana ni alama miongoni mwa alama za uislamu, kule kuadhiniwa kwa sauti ni ibada tayari na ni ishara ya kudhihirisha uislamu kwenye miji hiyo, kwani pana mahali adhana haitoki kabisa watu wanaenda kwa kuangalia saa.
Ila nchi za kiislamu kama tanzania adhana ni popote tu mpaka raha, alhamdulillah kwa neema hii.
Nchi ya kiislam halafu hapohapo mnalalamika kuwa mnatawaliwa na mfumo kristo.Si kila malalamiko ni valid mkuu, hao wanaopiga hizo kelele hawajui wanahitaji nini na kwa misingi gani.
Tanzania ni nchi ya kiislamu ndio maana tunafanya tunavyopenda kwa mujibu wa dini yetu tena kwa uhuru wala hakuna anayetusumbua.
Hujawahi sikia ila nenda pale banana uliza wakaz wake utasikia vilio vyao. Pale sinza uliza majiran kuzunguka zile bar utasikia lawama zake. Yote kwa yote kelele za usiku na mchana zinakera haijalishi ni za naniFreemason utumia hata viongozi wa serikali Ili kuipinga dini kama walivyofanya Rwanda.Mimi sijawahi sikia mtu akipinga kelele za bar au night clubs usiku kucha, lakini kwa mambo ya dini wanapinga
Hakuna dharau au mtu anasema msisali au kuwaingilia sala zenu, issue ni nyie na hayo maspika usiku kucha mpaka watu wanashindwa kulala, kwani hamuwezi kusali bila kelele za maspika, nina uhakika wakti wa mtume kulikuwa hakuna technology ya maspika na walikuwa wanasali vizuri tuu, usingizi ni muhimu sana kwa afya , salini lakini msiharibu afya za watu kwa makelele ya maspika, au punguzeni sauti za maspikaAcheni kuwa na dharau kuhusu dini za watu
Nenda police sio kuandika GazetiHakuna dharau au mtu anasema msisali au kuwaingilia sala zenu, issue ni nyie na hayo maspika usiku kucha mpaka watu wanashindwa kulala, kwani hamuwezi kusali bila kelele za maspika, nina uhakika wakti wa mtume kulikuwa hakuna technology ya maspika na walikuwa wanasali vizuri tuu, usingizi ni muhimu sana kwa afya , salini lakini msiharibu afya za watu kwa makelele ya maspika, au punguzeni sauti za maspika