Leo sijalala sababu ya kipaza sauti cha msikiti

Nchi ya kiislam halafu hapohapo mnalalamika kuwa mnatawaliwa na mfumo kristo.

Nyie jamaa ni wapumbavu sana
Sawa mimi sitokutukana, ila wanaolalamikia mfumo kristo hawajui hata huo mfumo kristo ni kitu gani, na huenda wameingia kwenye mambo yasiyowahusu ndio maana wakakutana na balaa, ila sisi alhamdulillah tupo kwenye kheri kubwa hapa nchini kwetu.
 
Mimi niko macho na ninachokwambia ni uhalisia, maana kwetu nchi kuwa ya kiislamu hakushurutishi kuhukumu kwa sheria za kiislamu.
Hii ni nchi ya kiislam kwa Katiba ipi?

Katiba ya nchi ya Tanzania inasema Tanzania ni nchi ya dini gani?
 
Mimi niko macho na ninachokwambia ni uhalisia, maana kwetu nchi kuwa ya kiislamu hakushurutishi kuhukumu kwa sheria za kiislamu.
Hizi ndoto za Tanzania kuwa nchi ya kiislam mtaendelea kuziota sana... but that WILL NEVER HAPPEN.

Kama unapenda sana hizo taratibu za nchi za kiislam hamia Iran au Afghanistan.
 
Hii ni nchi ya kiislam kwa Katiba ipi?

Katiba ya nchi ya Tanzania inasema Tanzania ni nchi ya dini gani?
Yaani mimi nazungumzia kwa mujibu wa uislamu wewe unaniambia habari za katiba, kwani tunajadili siasa hapa mkuu.
 
Hizi ndoto za Tanzania kuwa nchi ya kiislam mtaendelea kuziota sana... but that WILL NEVER HAPPEN.

Kama unapenda sana hizo taratibu za nchi za kiislam hamia Iran au Afghanistan.
Najua unakasirika sana na zaidi unachukia sana kwa maandishi yangu haya, lakini huo ndio uhalisia mkuu kwa mujibu wa dini yetu tanzania ni nchi ya kiislamu na tuko huru kufanya harakati zetu na kuzidhihirisha bila kubughudhiwa na yeyote.
 
bora ungelipoti kwa serikali ya mitaa ababu hiyo sio adhana bali ni ushenzi tu
 
Kuna walokole pia wansokesha wakisali na kuimba kwa kelele nyingi.. Yani sasa hivi ukipata pa kuishi ambapo sio karibu na hizi nyumba za ibada uta enjoy sana...
Hawajali kuhusu privacy za wengine
Hawajali kuhusu mapumziko ya wengine
tatzo tuna nidhamu ya wogo mbona ukiwapeleka kwa serikali ya mtaa heshima inakuwepo?sisi tulipinga mtaani kwetu lisijengwe kanisa tulijikusanya tukapeleka pingamizi mahakamani likasitishwa
 
nenda mahakamani hacha nidhamu ya woga
 
Wenzio wakisikia kelele za kumsifu Allah wanapataga usjngizi Mnono[emoji38][emoji38]
 
Hii kitu ilisababisha nikauchomea msikiti mmoja walichokutana nacho wanakijuwa wenyewe

Wenyewe walijisifu tunamwaga daawa
 
Makanisa ya kimichongo hayako pande hizo? Bora hata hao wa dini ya haki Ni siku mojamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…