Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Oct 26, 2020 #1 Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
Kwa kuwa leo ni siku maalum ya maombi kitaifa kuombea uchaguzi huu, nairejesha tena litania hii kwa ajili ya mafanikio kwa Taifa hili teule
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 26, 2020 #2 Tunamuombea Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Ashinde kwa kishindo na endelee kututumikia kwa amani, upendo, unyenyekevu nk
Tunamuombea Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Ashinde kwa kishindo na endelee kututumikia kwa amani, upendo, unyenyekevu nk
Ryaro wa Ryaro1233 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2020 Posts 353 Reaction score 885 Oct 26, 2020 #3 Kipenzi cha nini?
Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Oct 26, 2020 Thread starter #4 Bia yetu said: Tunamuombea Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Ashinde kwa kishindo na endelee kututumikia kwa amani, upendo, unyenyekevu nk Click to expand... Tuombe kwa ajili ya uchaguzi Tanzania
Bia yetu said: Tunamuombea Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Ashinde kwa kishindo na endelee kututumikia kwa amani, upendo, unyenyekevu nk Click to expand... Tuombe kwa ajili ya uchaguzi Tanzania