GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya hawana, hawajui Mpira na hata Mechi zao zote za Pre Season wamecheza na Wapishi na Wachezaji wa Academy tupu.
Kama kawaida yangu leo Macho yangu yako kwa Yanick GENTAMYCINE Bangala, Khalid GENTAMYCINE Aucho, Fiston GENTAMYCINE Mayele na aliyetulaza mapema Chupli Chupli FC ( Wazee wa Kuongeza Sifuri katika Mahesabu ya Fedha ) Feisal GENTAMYCINE Fei Toto.
Mtaninunia Sajilini Kiakili niwapende!!