STUNTER kutongoza sio maneno!
Ni combination ya maneno, matendo na hasa jinsi unavyoonekana kujali, kujiamini na kuonesha kuwa wewe ni mwanaume unayejithamini na kumthamini mwenza.
Wengi wanao-win wanawake ni kwa matendo yao Zaidi kuliko maneno yao!
mtongozo wa kwanza ni just to let girls/women kuwa alert kuwa look nipo interested nitazame kama nafaa! wengi wanafikiri wanawake wakitongozwa then wanaendelea kuwa perceive wakisubiri maneno tu, la hasha from mtongozo wa kwanza mwanamke anaanza kuwa mindful kuhusu huyo mtu aliyemu-approach, awe interested asiwe interested from there ukiwepo au akikuona sehemu atakuwa ana-notice vingi kuhusu wewe, now sio maneno tena bali combinations ya tabia, kauli na matendo yako ndio yatamleta kwako!
sisi wa umri wa kati wengi tulioona filamu ya Coming to America, tutakuelezea ni jinsi gani Prince Hakeem alivyoweza kumteka Lissa. kwa mwanaume wa kweli kule ndio kutongoza na sio kutoa cash, wala kupanga mistari- most girls/women hawako interested!
I bet, kwa maneno yote uliyosema hamna hata mmoja aliyevutwa hisia nawe, wanasoma kama lyrics tu za bongoflava!
so, kwa wale madomo zege wenzangu, you don't have to struggle na kukariri mistari, just show interest na "tenda mtongozo" girls will admire you! watakuforce useme - I love you! utalazimishwa useme, sio kama ndugu yetu stunter anajilazimisha kusema.
cc:
scorpio me miss 110 miss chagga Valentina emmyta