Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Leo STUNTER Ninatongoza LIVE mkishuhudia

Ur a gentleman [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera, few of men ambao wana akili kama zako, maneno ukiongea meengi mwishowe huwa uongo
...ka binti sasa mbona unaenda nje ya box .....nambie will you...o!?? Na siyo extra kaa hizooo...
 
Naona binti scopion anachelewa kujibu kama ajira za mkuu.
Kajipange upya mkuu stunter
 
nimefuatilia but kaka unapuyanga unatuaibisha siku izi huwa hatutogozi bali inakubidi uwe mchezi mtu wa kuwafurahisha hawa viumbe coz hakuna mschana ambaye huwa anapenda kujisikia karaha so ukiwa unamtania na kumchekesha mbna unakula mzigo
but kwa hizo vocal zako sahau kaka maisha magumu alafu na ww uanaleta mashairi badala ya kumfurahisha na asahau leo nimepiga mtoto mkali bila kutongoza but tulizoeana sana
 
STUNTER kutongoza sio maneno!
Ni combination ya maneno, matendo na hasa jinsi unavyoonekana kujali, kujiamini na kuonesha kuwa wewe ni mwanaume unayejithamini na kumthamini mwenza.
Wengi wanao-win wanawake ni kwa matendo yao Zaidi kuliko maneno yao!
mtongozo wa kwanza ni just to let girls/women kuwa alert kuwa look nipo interested nitazame kama nafaa! wengi wanafikiri wanawake wakitongozwa then wanaendelea kuwa perceive wakisubiri maneno tu, la hasha from mtongozo wa kwanza mwanamke anaanza kuwa mindful kuhusu huyo mtu aliyemu-approach, awe interested asiwe interested from there ukiwepo au akikuona sehemu atakuwa ana-notice vingi kuhusu wewe, now sio maneno tena bali combinations ya tabia, kauli na matendo yako ndio yatamleta kwako!
sisi wa umri wa kati wengi tulioona filamu ya Coming to America, tutakuelezea ni jinsi gani Prince Hakeem alivyoweza kumteka Lissa. kwa mwanaume wa kweli kule ndio kutongoza na sio kutoa cash, wala kupanga mistari- most girls/women hawako interested!
I bet, kwa maneno yote uliyosema hamna hata mmoja aliyevutwa hisia nawe, wanasoma kama lyrics tu za bongoflava!
so, kwa wale madomo zege wenzangu, you don't have to struggle na kukariri mistari, just show interest na "tenda mtongozo" girls will admire you! watakuforce useme - I love you! utalazimishwa useme, sio kama ndugu yetu stunter anajilazimisha kusema.
cc: scorpio me miss 110 miss chagga Valentina emmyta
Ha haa STUNTER yamemshinda sasa anataka uzi ufutwe...
 
Nikinywa maji nakuona katka glass, usiku silali nakuota ww scorpio me
 
Kwanini sasa wafute?
Lazima akimbie, nani anataka makelele/kunukishana midomo kwa kutongozana mjini!
kwani mi na wewe tumetongozana Valentina ila tunajua kuwa tunapendana na if we want to do it hamna tena kuimbishana! hata tukiwa mabubu mengine bado tutaelewana!
 
Maongezi hayana nafasi sana ktk kuwapata hawa viumbe. We weka tu funguo ya gari kwa Avatar yako.
 
Back
Top Bottom