ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Kila mtu anruhusiwa kujipa moyo ila siyo kuukimbia uhalisia.Funguo anazo ngosha wangu[emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu anruhusiwa kujipa moyo ila siyo kuukimbia uhalisia.Funguo anazo ngosha wangu[emoji108]
...ka binti sasa mbona unaenda nje ya box .....nambie will you...o!?? Na siyo extra kaa hizooo...Ur a gentleman [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera, few of men ambao wana akili kama zako, maneno ukiongea meengi mwishowe huwa uongo
Kwanini sasa wafute?thread closed, mods ufuteni huu uzi Cc. JamiiForums
Ha haa STUNTER yamemshinda sasa anataka uzi ufutwe...STUNTER kutongoza sio maneno!
Ni combination ya maneno, matendo na hasa jinsi unavyoonekana kujali, kujiamini na kuonesha kuwa wewe ni mwanaume unayejithamini na kumthamini mwenza.
Wengi wanao-win wanawake ni kwa matendo yao Zaidi kuliko maneno yao!
mtongozo wa kwanza ni just to let girls/women kuwa alert kuwa look nipo interested nitazame kama nafaa! wengi wanafikiri wanawake wakitongozwa then wanaendelea kuwa perceive wakisubiri maneno tu, la hasha from mtongozo wa kwanza mwanamke anaanza kuwa mindful kuhusu huyo mtu aliyemu-approach, awe interested asiwe interested from there ukiwepo au akikuona sehemu atakuwa ana-notice vingi kuhusu wewe, now sio maneno tena bali combinations ya tabia, kauli na matendo yako ndio yatamleta kwako!
sisi wa umri wa kati wengi tulioona filamu ya Coming to America, tutakuelezea ni jinsi gani Prince Hakeem alivyoweza kumteka Lissa. kwa mwanaume wa kweli kule ndio kutongoza na sio kutoa cash, wala kupanga mistari- most girls/women hawako interested!
I bet, kwa maneno yote uliyosema hamna hata mmoja aliyevutwa hisia nawe, wanasoma kama lyrics tu za bongoflava!
so, kwa wale madomo zege wenzangu, you don't have to struggle na kukariri mistari, just show interest na "tenda mtongozo" girls will admire you! watakuforce useme - I love you! utalazimishwa useme, sio kama ndugu yetu stunter anajilazimisha kusema.
cc: scorpio me miss 110 miss chagga Valentina emmyta
Lazima akimbie, nani anataka makelele/kunukishana midomo kwa kutongozana mjini!Kwanini sasa wafute?
wewe nitakutongoza mimingoja nimalize kupika unitongoze mm after mesy
umemalizana na shunie?wewe nitakutongoza mimi
shunie nilimpa talaka kitambo mbonaumemalizana na shunie?
huna hela
Nikimpa talaka kitamboumemalizana na shunie?
scorpio meumemalizana na shunie?