demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.
Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.
Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.
Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.
Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.