Leo Taifa Stars anafungwa 2-0 na Zambia.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.

Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.

Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.

Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.

Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
 
mkuu, taratibu basi.....
 
Kamati za ufundi jamani fanyeni mambo maana kuifunga Zambia bila kufanya maarifa hapa tunajidanganya.
 
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.

Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.

Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.

Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.

Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
Kwa gemu IPI Zambia walioonyesha ##historia tu zinawabeba Leo vijana kama kawa 2-1 lazma wakae Tanzania mbele
 
Mwenzetu angalia usikamatwe kwa kukosa uzalendo kama msomi TAL; Shauri yako!
 
Tuipende nchi yetu,leo inakabiliwa na litmus test ya mashindano haya,maana kuifunga SA,tulishangilia mediocrity,maana tuelewe kuwa mashindano haya hayapo kwenye FiFA calendar,and because of democracy na sheria zinafanya kazi ndani ya SA,vilabu havikulazimika kuachia wachezaji wao nyota kujiunga na timu ya taifa,tumeifunga timu B ya SA,kumbuka timu yao A iliifunga NIGERIA kwao 2-0,kwenye mashindano yaliyondani ya fifa calendar.nasi tumepeleka our best na Zambia nao,mechi ya leo itakuwa nzuri,TZ 2 ZAM 1.
 
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.

Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.

Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.

Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.

Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
Mleta uzi unaonekana siyo Mtanzania kwa na watu unaoishi nao watakuwa wameshakuchoka wanakuombea ufe haraka uondoke na laana zako hapa duniani ; maana unaonekana ni mtu uliyezoea sana kushindwa na hivyo unaitakia timu yetu ya Taifa ishindwe. Sasa nataka nikuhakikishie kuwa timu yetu ishinde au ishindwe mimi nabaki kuwa Mtanzania na shabiki wa timu yangu ya Tanzania. Kuonesha wewe ni mtu mwenye mtazamo hasi ; umeshindwa kujua hata timu inashiriki masbindano gani ndo maana ukaandika " CECAFA badala ya COSAFA . " [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Taifa stars nusu fainali COSAFA ni sawa na tembo juu ya mti
4434bae26e2a7477c39ebceca2b53058.jpg

Hujui alivyofika lakini unajua atadondoka tu
 
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.

Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.

Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.

Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.

Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
Mbona unatuchuria mkuu? Inshaallah Mola atatubebwa sisi waja wake
 
Back
Top Bottom