Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana cha msingi usikate tamaa.Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Harakat zako ni zip???Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Leo tu? You are doing great!Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Umesevu sh ngapi mkuu?Nimepata kama elf 15 hiv nmekula kitimoto nusu apa nipo namalizia bia nikalale
amesave kwenye tumbo mkuuUmesevu sh ngapi mkuu?
Pole sana Mkuu, usikate tamaa maana siku hazifanani.Mambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Hongera mkuu,mi nimepata elfu 3,buku nimempa waifu ya kibati,buku dagaa na mafuta..unga upo, ndio tunakula ugali hapa...buku ya waifu kesho atajua cha kuifanyaNimepata kama elf 15 hiv nmekula kitimoto nusu apa nipo namalizia bia nikalale
Muombe MUNGU kesho pia ni siku...hope UTAPATAMambo ya kutafuta bwana, leo ninetoka kapa katika harakati za kutafuta, kifupi sijaingiza hela yoyote leo.
Asante kwa jibu nzuriamesave kwenye tumbo mkuu